Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
😂😂😂ng'ombe/Tanzania kabaki uti wa mgongo tu 🥺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂ng'ombe/Tanzania kabaki uti wa mgongo tu 🥺
Hili ndiyo tatizo kubwa, baada ya uhuru watu walitoka Burundi kutafuta ajira Tanzania, ukuli bandarini, kuchuma chai na kahawa au kwenye mashamba ya mkonge. Sasa hivi tunaambiwa tukimbilie Burundi.
Unajua toka ianze tozo,mafuta,ni pesa nyingi sana imekusanywa. Ukumbuke hapo kuna kodi,kuna kodi za majengo. Lakini hiyo hela yote iliyokusanywa hutaona imefanyia kazi gani. Ila baada ya siku kadhaa tutasikia ufisadi wa kutisha. Miiguru ndio wa kwanza kupiga hizi helaHivi tozo na kudhulumu watu wachache kwa chuki zako tu bora nini?
Mzee Ruksa alipoingia madarakani viwanda vya nguo vilikua zaidi ya vitano. Kuanzia Urafiki, Sungura, Mwatex, Mutex. Kulikua na Moro Shoes, Mwanza Oil kilitengenezs Tan Bond na Super Ghee. Arusha kulikua na kiwanda cha dawa za meno kilitengenezs Bona med na TARA .Baada ya uhuru haraka sana viongozi walitakiwa waanze ukombozi wa kiuchumi kama mwalimu alivyofanya kujenga viwanda, na kutengeneza ajira lakini watu haohao waliturudisha nyuma halafu mtarajie watu haohao watusogeze mbele lazima ifikie hatua tuelezane ukweli
Chamade Cha MATOZO🎯ng'ombe/Tanzania kabaki uti wa mgongo tu 🥺
unanipita km hunijui!Nakuona...
Hahaa tozo zinachanganya mpaka sioni mbele 😂unanipita km hunijui!
umejitetea vizuri! baki hivi hivi usibadili tena.Hahaa tozo zinachanganya mpaka sioni mbele 😂
Watu wanapenda tu kupiga kelele tena kwa kufuata mkumbo, tatizo ninaloliona wabongo wengi wanapenda wachache ndio waumie.Wote ni udhulumati maana unafanya unyang’anyi