Muda ndiyo huu, tuwakamue mpaka waende Burundi

Hili ndiyo tatizo kubwa, baada ya uhuru watu walitoka Burundi kutafuta ajira Tanzania, ukuli bandarini, kuchuma chai na kahawa au kwenye mashamba ya mkonge. Sasa hivi tunaambiwa tukimbilie Burundi.

Baada ya uhuru haraka sana viongozi walitakiwa waanze ukombozi wa kiuchumi kama mwalimu alivyofanya kujenga viwanda, na kutengeneza ajira lakini watu haohao waliturudisha nyuma halafu mtarajie watu haohao watusogeze mbele lazima ifikie hatua tuelezane ukweli
 
Hivi tozo na kudhulumu watu wachache kwa chuki zako tu bora nini?
Unajua toka ianze tozo,mafuta,ni pesa nyingi sana imekusanywa. Ukumbuke hapo kuna kodi,kuna kodi za majengo. Lakini hiyo hela yote iliyokusanywa hutaona imefanyia kazi gani. Ila baada ya siku kadhaa tutasikia ufisadi wa kutisha. Miiguru ndio wa kwanza kupiga hizi hela
 
Huyo mwenye ndoo ni Madelu
Mzee Ruksa alipoingia madarakani viwanda vya nguo vilikua zaidi ya vitano. Kuanzia Urafiki, Sungura, Mwatex, Mutex. Kulikua na Moro Shoes, Mwanza Oil kilitengenezs Tan Bond na Super Ghee. Arusha kulikua na kiwanda cha dawa za meno kilitengenezs Bona med na TARA .
 
Wote ni udhulumati maana unafanya unyang’anyi
Watu wanapenda tu kupiga kelele tena kwa kufuata mkumbo, tatizo ninaloliona wabongo wengi wanapenda wachache ndio waumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…