Muda niliopoteza kwa mtu asiye sahihi unanicost, Umri unaenda nataka mke. Je, inawezekana akapatikana mtandaoni akawa mwema?

Labda umuumbe mwenyewe,mwenye sifa izo utasubir xana
 
mkibagua bagua tegemeeni mapicha picha had yesu arudi
 
Offcorse mwanamke aliyelelewa na wazazi wote wawili ni muhimu sana saa ya kuingia kwenye ndoa
Watoto waliolelewa na Sighle mother Wana madhaifu mengi sana
Usithubutu kabisa.
 
jamani uzi ulinipita huu niko hapa mkeo vyote ninavyo ushindwe wewe tu
 
Offcorse mwanamke aliyelelewa na wazazi wote wawili ni muhimu sana saa ya kuingia kwenye ndoa
Watoto waliolelewa na Sighle mother Wana madhaifu mengi sana
Usithubutu kabisa.
msigeneralize vitu bila uhakika
 
Awe na wazazi wawili [emoji23][emoji23][emoji23] kama hawapo wote je?
 
Offcorse mwanamke aliyelelewa na wazazi wote wawili ni muhimu sana saa ya kuingia kwenye ndoa
Watoto waliolelewa na Sighle mother Wana madhaifu mengi sana
Usithubutu kabisa.
Upo sahihi kabisa mkuu,
 
Wewe unataka mke au unataka mwenye CV ya kufanya kazi UN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…