Sijamuona @Archduke muda umekuwa mrefu kidogo, yupo? Au hii habari imemuweka busy kui-handle[emoji85][emoji85][emoji85]Aamyn inshallah naamini hivo
Na hilo pia ndio limenitia woga sometimes utajiona uko sawa kumbe kuna vitu havijakaa sawa hivo n muhim kuwah hospital haraka nimejipanga nikiamka salama niende kesho
Sawa, pia hospital kubwa wana kitengo cha clinic kama siyo mbali na nyumbani nenda hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaHospital kubwa niko nayo mbali sana ila sio kua kufika siwezi lakini nimejichagulia tu kujigungulia iwe huko clinic ntaenda za karibu ambazo nitaona bora kwangu
Ok gud, jitahidi dawa utakazopewa umeze kula vizuri matunda mbogamboga na maji kwa wingi
MUNGU ATAKUVUSHA SALAMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Clinic inatakiwa kuanza mara tu mwanamke anapogundua ni mjamzito
Kuna huduma zitolewazo ambazo ni muhimu kwa mama mjamzito na kiumbe kinachotengenezwa.
Si lazima ulipofanyia clinic ndio ujifungulie
Lakini kuanza clinic mapema ni lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipomaliza kuuliza swali, hilo wazo likanijia, nimelitekeleza na nimepata jibu.[emoji16][emoji16] amebadili id mtafute yupoo
Hili hapa[emoji115][emoji115][emoji16][emoji16] amebadili id mtafute yupoo
Hahahahhahahaha njoo unambie ni wazo gan nijue
Gharama zao vipi mkuu?Kwa kawaida unaanza kuuzuria clinic mara tu unapojigundua ni mjamzito tho wengi wao huanza kwenda wakiwa na miezi mitatu
Mimi nimeanza kwenda clinic mimba ina week tatu, na pale hospital walinipongeza sana.
Kingine siyo lazima pale unapoohuzuria clinic ndo ujifungulie
Lakini ni vema kama kuna hospital nzuri unayohisi ndo utaenda kujifungulia hapo uwende hapo hapo clinic.
Nilianzia clinic Agakhan na kujifungulia hapo hapo nilipenda huduma zao na kila kitu yani unahuduliwa vema vipimo vyote haxi siku ya kujifungua unakuwa na details za uhakika zinazomsaidia mzalishaji kukuhudumia.
Kila la heri fata la mume na day one mnaongozana
Sent using Jamii Forums mobile app
all the best madameHospital kubwa niko nayo mbali sana ila sio kua kufika siwezi lakini nimejichagulia tu kujigungulia iwe huko clinic ntaenda za karibu ambazo nitaona bora kwangu
Jibu hili hapa dada , the early the better , ukitambua tu una ujauzito basi ni kuanza clinic as soon as possibleKwa kawaida unaanza kuuzuria clinic mara tu unapojigundua ni mjamzito tho wengi wao huanza kwenda wakiwa na miezi mitatu