Muda sahihi wa kuanza clinic

Muda sahihi wa kuanza clinic

Amin natamani kula lakini hakuna kinachokaa nakula vile najisikia kula navyo havikai natapika vyote me hata maji pia hayakai kwa kweli nitashukuru kama nitavuka salama mana ngoma naiona bado
Ok gud, jitahidi dawa utakazopewa umeze kula vizuri matunda mbogamboga na maji kwa wingi
MUNGU ATAKUVUSHA SALAMA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante na shukran nimeshaeleweshwa nimeelewa now nitaenda kesho inshallah
Clinic inatakiwa kuanza mara tu mwanamke anapogundua ni mjamzito
Kuna huduma zitolewazo ambazo ni muhimu kwa mama mjamzito na kiumbe kinachotengenezwa.
Si lazima ulipofanyia clinic ndio ujifungulie
Lakini kuanza clinic mapema ni lazima
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida unaanza kuuzuria clinic mara tu unapojigundua ni mjamzito tho wengi wao huanza kwenda wakiwa na miezi mitatu

Mimi nimeanza kwenda clinic mimba ina week tatu, na pale hospital walinipongeza sana.

Kingine siyo lazima pale unapoohuzuria clinic ndo ujifungulie

Lakini ni vema kama kuna hospital nzuri unayohisi ndo utaenda kujifungulia hapo uwende hapo hapo clinic.
Nilianzia clinic Agakhan na kujifungulia hapo hapo nilipenda huduma zao na kila kitu yani unahuduliwa vema vipimo vyote haxi siku ya kujifungua unakuwa na details za uhakika zinazomsaidia mzalishaji kukuhudumia.

Kila la heri fata la mume na day one mnaongozana

Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama zao vipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wamama wengi huku lakini hawajatoa majibu sahihi.

Jibu Ni kwamba Kati ya wiki ya 6 - 8 unashauriwa uhudhurie clinic kuona Kama Mimba imetungwa ndani ya mfuko wa uzazi au la.

Pia utapewa ushauri Nini ufanye au usifanye kwa kopindi chote Cha firs trimester (wiki 13 za mwanzo).

Pia utaambiwa dalili hatarishi na hatua za kuchukua pale unpoona dalili sio nzuri/hatarishi.

Week ya 20 unashauriwa uanze clinic rasmi ya Kila mwezi hiyo clinic ya kwanza lazima ufanye ultra sound Tena kuona Kama Mtoto anakua bila tatizo (not deformed) na viashiria vingine.

Utaendele clinic yako kila mwezi Hadi ujifungue.

Unaweza kubadilisha kituo Cha clinic lakini card yako ya clinic itabakia kuwa hiyohiyo. Ingawa Kama huna bima inaweza kuwa gharama maana kila mahali wanapenda kutoa ushauri baada ya kujiridhisha damu ya mama (wingi na magonjwa sugu), ukaaji wa Mtoto and farmation. Hivyo unaweza kujikuta kila wakati unafanya vipimo kwa gharama.

Karibu kwenye ukimwengu wa wazazi, na hongereni kwa kujaaliwa Mimba.
 
Hospital kubwa niko nayo mbali sana ila sio kua kufika siwezi lakini nimejichagulia tu kujigungulia iwe huko clinic ntaenda za karibu ambazo nitaona bora kwangu
all the best madame

hope u good
 
Mimba ina vipindi vitatu muhimu, mieai mitatu ya kwanza 1-3 (first trimester), miezi mitatu ya kati 3-6 (second trimister), miezi mitatu ya mwisho 7-9 (third trimester). Muhimu uwe unaonana na wataalamu katika kipindi chote kuanzia wiki nne za kwanza. Wiki mbili za kwanza ukishafahamu uja uzito anza kufanya appointment.
 
Kwa kawaida unaanza kuuzuria clinic mara tu unapojigundua ni mjamzito tho wengi wao huanza kwenda wakiwa na miezi mitatu

Mimi nimeanza kwenda clinic mimba ina week tatu, na pale hospital walinipongeza sana.

Kingine siyo lazima pale unapoohuzuria clinic ndo ujifungulie

Lakini ni vema kama kuna hospital nzuri unayohisi ndo utaenda kujifungulia hapo uwende hapo hapo clinic.
Nilianzia clinic Agakhan na kujifungulia hapo hapo nilipenda huduma zao na kila kitu yani unahuduliwa vema vipimo vyote haxi siku ya kujifungua unakuwa na details za uhakika zinazomsaidia mzalishaji kukuhudumia.

Kila la heri fata la mume na day one mnaongozana

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hili hapa dada , the early the better , ukitambua tu una ujauzito basi ni kuanza clinic as soon as possible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inashauriwa uende clinic pale unapojigundua una ujauzito.Utapimwa kama ni chini ya miezi mi 3.utaambiwa uje baada ya wiki ngapi.
Ni muhimu kwenda mapema maana kuna kupata ushauri mzuri namna kuwatunza mama na mtoto wawe salama mpaka siku itapojiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom