Muda sahihi wa kuanza clinic

Mh! Hongera Best that was fast Woah! I am so happy for both of you. No need to delay the sooner the better in order to make sure that everything is going on well. Make sure you’ve your vitamins and 1mg Folic acid daily.

Naona hizi mvua hizi mhhhhh! 😜

Ahaahhahah nimecheka asante hahaha umenifrahisha
 
Reactions: BAK
Asante sana mkuu kwa maelezo yako mujarab nashukuru kesho inshallah nitajua kila kitu

Asante nimekaribia ila.vitimbi vyake sio mchezo
 
Bas nitaenda kesho bibi nilishakata shauri nikiamka salama nitakwenda hivi hamna namna ya kuzuia hii hali ya kwenda haja ndogo mara kwa mara??
 
Bas nitaenda kesho bibi nilishakata shauri nikiamka salama nitakwenda hivi hamna namna ya kuzuia hii hali ya kwenda haja ndogo mara kwa mara??
Miezi ya kwanza utapewa ushauri wa mazoezi ya kufanya, chakula, vipimo utakavyo pitia na kwa muda gani. Wengi huchukua mimba kama ugonjwa basi ulale tu. Ujauzito unafanya kazi lakini epuka kubeba vitu zitito.
 
Dah huyo alienambia nianze na miezi sita nilistuka lakini sikutaka kumuonesha kua nimedoubt ushauri wake ukizingatia ye alianza clinic na miez minne
As soon as unapogundua you are pregnant sign up at the clinic.
Then wao ndo watakupangia pa kuanza.
 
Najitajidi kula lakini chakula hakikai hata natapika tu ngoja hiyo kesho ntajua
Miezi ya kwanza utapewa ushauri wa mazoezi ya kufanya, chakula, vipimo utakavyo pitia na kwa muda gani. Wengi huchukua mimba kama ugonjwa basi ulale tu. Ujauzito unafanya kazi lakini epuka kubeba vitu zitito.
 
Shukran nitazingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…