Muda sahihi wa kuanza clinic

Muda sahihi wa kuanza clinic

Mh! Hongera Best that was fast Woah! I am so happy for both of you. No need to delay the sooner the better in order to make sure that everything is going on well. Make sure you’ve your vitamins and 1mg Folic acid daily.

Naona hizi mvua hizi mhhhhh! 😜

Assalam alayqum, ni matumaini yangu mu wazima alhamdulillah

Jamani madokta wa jukwaa hili ninaomba msaada ni wakati gani mama au msichana akishajigundua yu mjamzito yafaa kwenda clinic? Kuna mtu ananambia niende mimba ikifika miezi sita mume anambia kesho asubuh inshallah niamkie huko lakini bado tukawa tunajiuliza je hospital nitakayoenda s ndio itakua hiyo hiyo kwa kipindi chote cha clinic kama Allah akinijaalia uzima? Au waweza pia jiandikisha kwengine clinic ukafanya kwengine kujifungua kwengine

Ni matumaini yangu humu sitakosa msaada
 
Ahaahhahah nimecheka asante hahaha umenifrahisha
Mh! Hongera Best that was fast Woah! I am so happy for both of you. No need to delay the sooner the better in order to make sure that everything is going on well. Make sure you’ve your vitamins and 1mg Folic acid daily.
Naona hizi mvua hizi mhhhhh! 😜
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Asante sana mkuu kwa maelezo yako mujarab nashukuru kesho inshallah nitajua kila kitu

Asante nimekaribia ila.vitimbi vyake sio mchezo
Kuna wamama wengi huku lakini hawajatoa majibu sahihi.
Jibu Ni kwamba Kati ya wiki ya 6 - 8 unashauriwa uhudhurie clinic kuona Kama Mimba imetungwa ndani ya mfuko wa uzazi au la.
Pia utapewa ushauri Nini ufanye au usifanye kwa kopindi chote Cha firs trimester (wiki 13 za mwanzo).
Pia utaambiwa dalili hatarishi na hatua za kuchukua pale unpoona dalili sio nzuri/hatarishi.
Week ya 20 unashauriwa uanze clinic rasmi ya Kila mwezi hiyo clinic ya kwanza lazima ufanye ultra sound Tena kuona Kama Mtoto anakua bila tatizo (not deformed) na viashiria vingine.
Utaendele clinic yako kila mwezi Hadi ujifungue.
Unaweza kubadilisha kituo Cha clinic lakini card yako ya clinic itabakia kuwa hiyohiyo. Ingawa Kama huna bima inaweza kuwa gharama maana kila mahali wanapenda kutoa ushauri baada ya kujiridhisha damu ya mama (wingi na magonjwa sugu), ukaaji wa Mtoto and farmation. Hivyo unaweza kujikuta kila wakati unafanya vipimo kwa gharama.
Karibu kwenye ukimwengu wa wazazi, na hongereni kwa kujaaliwa Mimba.
 
Bas nitaenda kesho bibi nilishakata shauri nikiamka salama nitakwenda hivi hamna namna ya kuzuia hii hali ya kwenda haja ndogo mara kwa mara??
Mimba ina vipindi vitatu muhimu, mieai mitatu ya kwanza 1-3 (first trimester), miezi mitatu ya kati 3-6 (second trimister), miezi mitatu ya mwisho 7-9 (third trimester). Muhimu uwe unaonana na wataalamu katika kipindi chote kuanzia wiki nne za kwanza. Wiki mbili za kwanza ukishafahamu uja uzito anza kufanya appointment.
 
Bas nitaenda kesho bibi nilishakata shauri nikiamka salama nitakwenda hivi hamna namna ya kuzuia hii hali ya kwenda haja ndogo mara kwa mara??
Miezi ya kwanza utapewa ushauri wa mazoezi ya kufanya, chakula, vipimo utakavyo pitia na kwa muda gani. Wengi huchukua mimba kama ugonjwa basi ulale tu. Ujauzito unafanya kazi lakini epuka kubeba vitu zitito.
 
Dah huyo alienambia nianze na miezi sita nilistuka lakini sikutaka kumuonesha kua nimedoubt ushauri wake ukizingatia ye alianza clinic na miez minne
As soon as unapogundua you are pregnant sign up at the clinic.
Then wao ndo watakupangia pa kuanza.
 
Najitajidi kula lakini chakula hakikai hata natapika tu ngoja hiyo kesho ntajua
Miezi ya kwanza utapewa ushauri wa mazoezi ya kufanya, chakula, vipimo utakavyo pitia na kwa muda gani. Wengi huchukua mimba kama ugonjwa basi ulale tu. Ujauzito unafanya kazi lakini epuka kubeba vitu zitito.
 
Shukran nitazingatia
Inashauriwa uende clinic pale unapojigundua una ujauzito.Utapimwa kama ni chini ya miezi mi 3.utaambiwa uje baada ya wiki ngapi.
Ni muhimu kwenda mapema maana kuna kupata ushauri mzuri namna kuwatunza mama na mtoto wawe salama mpaka siku itapojiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom