Muda sahihi wa kuanza clinic

Aisee bas had ikikomaa nimeshalose weight vya kutosha tu
Chakula hakikai kwasababu immune system yako ina ji adujust baada ya kutambua kuna foreign body mwilini. Itakuja kukaa sawa baada ya first trimester.
 
Kwa kawaida mama mjamzito huwa anashauriwa kuhudhuria antenatal clinics mapema tu anapogundua yu mjamzito...

Kwa kawaida wiki za awali kati ya 0 hadi 26-28 hapo kama mama na mtoto wana afya njema, basi mama hushauriwa kwenda clinic kila mwezi...

Muda hupungua kadiri ujauzito unapokuwa hadi kufikia mahudhurio ya kila wiki kwa wiki za mwishoni...

Baada ya miezi 3 ya ujauzito

Madokta, Wauguzi na Wakunga mtanisahihisha hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asalaaam

Mashaallah...

Sio daktari ila ukishapata ujauzito tu kuwa karibu na daktari wako/Clinic. Utapewa ratiba kamili uwapo Hospitali.

Hongera nimependa..ingekuwa member wengine wangekuja kuomba ushauri na ID mpya.
 
hahahaha mpenzi mtazamaji sasa ubadilike uwe mpenzi msomaji

nathibisha
Awamu hii hakuna kupanda daraja mkuu,

Niache hapa hapa kwenye upenzi utazamaji[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bila shaka umeipata like yangu
 
Asante Daby inshallah kesho nitaenda nitajua kila kitu
Mashaallah...
Sio daktari ila ukishapata ujauzito tu kuwa karibu na daktari wako/Clinic. Utapewa ratiba kamili uwapo Hospitali.
Hongera nimependa..ingekuwa member wengine wangekuja kuomba ushauri na ID mpya.
 
Haha why id mpya?? Kwangu ni furaha hata sikuelezi vile nafeel kua hivi na hayo madeko usipime

Una lana wewe hahhaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na mimi nakamatia hapa hapa kwenye kukushinda tabia, sitaki kukushinda mengine[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haha why id mpya?? Kwangu ni furaha hata sikuelezi vile nafeel kua hivi na hayo madeko usipime
Siwajibii ila wangefanya hivyo.

Ni furaha kupata wa kuzaliwa nawe. Kikubwa uwe na karibu na daktari na ufuate ushauri wake.
 
Kesho ndio najipeleka huko rasmi hope nitapata kila nachohitaji,

Na nifuraha hata cha kusema sina zaidi ya kumshukuru Mungu wangu
Siwajibii ila wangefanya hivyo.
Ni furaha kupata wa kuzaliwa nawe. Kikubwa uwe na karibu na daktari na ufuate ushauri wake.
 
Una lana wewe hahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri zipo ndogo ndogo na kubwa kubwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hapo lazima tugawane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…