Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya miezi 3 ya ujauzito
Madokta, Wauguzi na Wakunga mtanisahihisha hapa
Awamu hii hakuna kupanda daraja mkuu,hahahaha mpenzi mtazamaji sasa ubadilike uwe mpenzi msomaji
nathibisha
Bila shaka umeipata like yanguKwa kawaida mama mjamzito huwa anashauriwa kuhudhuria antenatal clinics mapema tu anapogundua yu mjamzito...
Kwa kawaida wiki za awali kati ya 0 hadi 26-28 hapo kama mama na mtoto wana afya njema, basi mama hushauriwa kwenda clinic kila mwezi...
Muda hupungua kadiri ujauzito unapokuwa hadi kufikia mhudhurio ya kila wiki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nakamatia hapa hapa kwenye kukushinda tabia, sitaki kukushinda mengine[emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha umenishinda tabia ww
Hicho kicheko lazima kiende sambamba na vibration ya mwili, tayari ushapa mazoezi hapo...Umenifanya nimecheka had nimepaliwa
Asalaaam
Mashaallah...
Sio daktari ila ukishapata ujauzito tu kuwa karibu na daktari wako/Clinic. Utapewa ratiba kamili uwapo Hospitali.
Hongera nimependa..ingekuwa member wengine wangekuja kuomba ushauri na ID mpya.
Siwajibii ila wangefanya hivyo.Haha why id mpya?? Kwangu ni furaha hata sikuelezi vile nafeel kua hivi na hayo madeko usipime
Siwajibii ila wangefanya hivyo.
Ni furaha kupata wa kuzaliwa nawe. Kikubwa uwe na karibu na daktari na ufuate ushauri wake.
Uzuri zipo ndogo ndogo na kubwa kubwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Una lana wewe hahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uende naye sasa.Kesho ndio najipeleka huko rasmi hope nitapata kila nachohitaji,
Na nifuraha hata cha kusema sina zaidi ya kumshukuru Mungu wangu
Pale unapojigundua tu mjamzito inashauriwa uanze clinic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya...Inshallah.Ndie atakayenipeleka kesho inshallah