Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

Watu wa MMU kwa story za kutunga nawakubar...uku u jf expert member unaupata kwa kutunga uongo..
 
Watu wa MMU kwa story za kutunga nawakubar...uku u jf expert member unaupata kwa kutunga uongo..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana Mkuu naona umewekwa ndani ya 18.! Mpeleke nje ya BOX
 
Mtoto ana majalibu ni hatali nitaweza kweli
Kwa jibu hili tayari inaonesha cha kufanya unacho.

NB: uache kuuliza maswali ambayo tayari majibu ulishayapanga kichwani ila umekuja kutafuta supporters..
 
Mtoto ana majalibu ni hatali nitaweza kweli
KUWA MAKINI. WAKATI MWINGINE PAPUCHI HUGEUKA KUWA BASTOLA. FANYA UTAFITI WA AFYA WA HUYO MWANAMKE. UKIKURUPUKA KWA TAMAA ZA MWILI UTAKUJA KUOMBA HUMU USHAURI TENA KWA UKIMWI AU MIMBA
**********think big***** HIV KILLS
 
We msela wa mwendokasi utakuwa na matatizo si bure! kwa mahesabu yangu ya haraka haraka hapo,kama mimi tayari huyo ni demu wangu na nishapiga rough zote...
 
Bora hata nyuki wa canteen japo haumi anajitahidi kulamba lamba vikombe vya chai....kuliko wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…