Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

Watu wa MMU kwa story za kutunga nawakubar...uku u jf expert member unaupata kwa kutunga uongo..
 
Watu wa MMU kwa story za kutunga nawakubar...uku u jf expert member unaupata kwa kutunga uongo..
 
Naomba sasa tuwe pamoja mwanzo mwisho wadau wa jukwaa hili

Hapa home nilipopanga kuna mambo yananitokea yaan ni baraa tupu vioja vya hatari masela wangu nakaa na mama mwenye nyumba na mabinti zake wawili na vitoto vingine vidogo vidogo vina kati ya miaka kumi au kumi na mbili

Sasa huyu binti mmoja mkubwa simwelewi kabisa jaman yaan nikienda choon yeye anaingia bafun nikiingia bafun yeye anaingia choon nikichukia mswaki nisafishe meno naye anakuja nilipo anaanza kuniongelesha ongelesha jana kaja kujipakia mafuta gheto kwangu alafu yupo kwenye kanga tu nayo imeloa balaa akawa anapaka kwa malingo ni baraa mala njoo unipake mara mgongo unawasha nikaona nimupotezee tuu

Jana usiku napo nimeenda bafun usiku aliposikia tu nafungua mlango wa gheto naye akatoka fasta akanifata bafun kavaa kanga tu mara akanikumbatia mtoto anajoto balaa sikumufanya kitu lakin sababu mimi hapa bado mgen lakin kuna siku yake

Sasa masela mnanishaulije vp niwashe moto au nisiwashe ninyi ndo masela wangu nategemea kupata mawazo mazur hapa
Niwashe au nipige chin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana Mkuu naona umewekwa ndani ya 18.! Mpeleke nje ya BOX
 
Mtoto ana majalibu ni hatali nitaweza kweli
Kwa jibu hili tayari inaonesha cha kufanya unacho.

NB: uache kuuliza maswali ambayo tayari majibu ulishayapanga kichwani ila umekuja kutafuta supporters..
 
Mtoto ana majalibu ni hatali nitaweza kweli
KUWA MAKINI. WAKATI MWINGINE PAPUCHI HUGEUKA KUWA BASTOLA. FANYA UTAFITI WA AFYA WA HUYO MWANAMKE. UKIKURUPUKA KWA TAMAA ZA MWILI UTAKUJA KUOMBA HUMU USHAURI TENA KWA UKIMWI AU MIMBA
**********think big***** HIV KILLS
 
We msela wa mwendokasi utakuwa na matatizo si bure! kwa mahesabu yangu ya haraka haraka hapo,kama mimi tayari huyo ni demu wangu na nishapiga rough zote...
 
Bora hata nyuki wa canteen japo haumi anajitahidi kulamba lamba vikombe vya chai....kuliko wewe
 
Back
Top Bottom