Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majalibu=MajaribuMtoto ana majalibu ni hatali nitaweza kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana Mkuu naona umewekwa ndani ya 18.! Mpeleke nje ya BOXNaomba sasa tuwe pamoja mwanzo mwisho wadau wa jukwaa hili
Hapa home nilipopanga kuna mambo yananitokea yaan ni baraa tupu vioja vya hatari masela wangu nakaa na mama mwenye nyumba na mabinti zake wawili na vitoto vingine vidogo vidogo vina kati ya miaka kumi au kumi na mbili
Sasa huyu binti mmoja mkubwa simwelewi kabisa jaman yaan nikienda choon yeye anaingia bafun nikiingia bafun yeye anaingia choon nikichukia mswaki nisafishe meno naye anakuja nilipo anaanza kuniongelesha ongelesha jana kaja kujipakia mafuta gheto kwangu alafu yupo kwenye kanga tu nayo imeloa balaa akawa anapaka kwa malingo ni baraa mala njoo unipake mara mgongo unawasha nikaona nimupotezee tuu
Jana usiku napo nimeenda bafun usiku aliposikia tu nafungua mlango wa gheto naye akatoka fasta akanifata bafun kavaa kanga tu mara akanikumbatia mtoto anajoto balaa sikumufanya kitu lakin sababu mimi hapa bado mgen lakin kuna siku yake
Sasa masela mnanishaulije vp niwashe moto au nisiwashe ninyi ndo masela wangu nategemea kupata mawazo mazur hapa
Niwashe au nipige chin
Ukiona ivyo ujue unazeeka. Kwani Jamii Forum ni sehemu ya Siasa peke yakeThread kama hizi huwa zinanipa ukakasi sana kuhusu kizazi chetu
Kwa jibu hili tayari inaonesha cha kufanya unacho.Mtoto ana majalibu ni hatali nitaweza kweli
KUWA MAKINI. WAKATI MWINGINE PAPUCHI HUGEUKA KUWA BASTOLA. FANYA UTAFITI WA AFYA WA HUYO MWANAMKE. UKIKURUPUKA KWA TAMAA ZA MWILI UTAKUJA KUOMBA HUMU USHAURI TENA KWA UKIMWI AU MIMBAMtoto ana majalibu ni hatali nitaweza kweli
Hujui utajigawaje kwani unawataka wote wawili?Sawa kabisa mkuu nilileta hiyo mada na ni ya kweli lakin bado na haka kabinti hapa home kananisumbua kinoma sijui nitajigawaje msela wangu
JF ni shiidaaa!!Dah samaki wanatoka hadi nchi kavu bado wavuvi wanashindwa kukamata ... Fedheha
Ngoja masela wako waje wakujibu
HahahahahHahahahaha lol! Mie nilidhani nawe umo kwenye kundi la masela. [emoji3][emoji28][emoji23]