Muda sio mrefu nitakuwa na Ridhiwani Kikwete, nimwambie nini?

Muda sio mrefu nitakuwa na Ridhiwani Kikwete, nimwambie nini?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Watanzania mpoo,

Leo nakutana na RIDHIWANI, mnataka nimwambie nini? Makavu bila chenga
Leteni ujumbe wenu wa wazi, bila kuzunguka
 
Ridhiwan ni mtoto wa mzee nuksi anayeliangamiza taifa. Hivyo mwambie Ridhiwan amkanye babake.
 
Watanzania mpoo,

Leo nakutana na RIDHIWANI, mnataka nimwambie nini? Makavu bila chenga.
Kuwa Dady asizingue yeye ni Mtanzania Mtanganyika,na maishani tunapita,iwapo kuna hukumu baada ya maisha ajiandalie hukumu iliyoya kheri.
 
Mwambie iviii............Familia yao (Yeye, Baba yake na Mama yake) tunawategemea sanaa na ndio think tank ya Taifa kutufikisha kwenye matarajio ya Dira ya Mwaka 2050. Mshauri aanze kumuandaa mapema mtoto wake awe Rais ajaye panapomajaliwa.
 
Watanzania mpoo,

Leo nakutana na RIDHIWANI, mnataka nimwambie nini? Makavu bila chenga
Leteni ujumbe wenu wa wazi, bila kuzunguka
huyo ridhiwani anasoma kilankitu mtandaoni hakuna asichojikua kuhusu wana wanamuongeleaje
 
Naomba muulize anawaonaje walimu walioajiriwa mwaka 2014 ambao wamedhulumiwa daraja moja na mzee magu
 
Back
Top Bottom