Mzalendo07
Member
- Feb 24, 2014
- 71
- 120
Hivi TANESCO ndio tumekubali kuna shida lakini mkikata umeme saa 8.00 am mkarudisha 5.00 pm. Mnaona wananchi watafaidi sana.
Kwa nini mkate saa 6.00 am watu wanajianda kwenda makazini na shuleni.
Waoneeni huruma Wananchi ata kama ni upigaji sio kutesa wengine.