Walichotufanya Kina Maharage na Januari walistahili kuwa jela kabisa. Hao vijana ni mbwa.
Ni heri sasa vijana tusiendelee kuaminiwa. Tumevunja rekodi ya utapeli.
Huyu mama naye aache sasa unafiki!! Mwenzake alimkataa Januari kwa sababu hizi hizi za janja janja, eti akamrudisha kwa kumkomoa marehemu, hovyo kabisa.
Ngoja avuruge na huko mambo ya nje ndo tutatia akili