Muda umefika FIFA kuhamishia makao makuu yao Tanzania

Muda umefika FIFA kuhamishia makao makuu yao Tanzania

Kila mtu ni mchambuzi wa soka.
Kila mtu anajua sheria za FI FA
Watu wanakula na kuishi kupitia mpira.

Tunasubiri nini
Wewe unashangaa wanavo chambua mpira, wakija kwenye masuala ya vita ya Ukurain na Russia, israel na palastine lazima utaomba Nato au UN security council wahamishe vikao vyao hapa Dar es salam mbagala........
 
Wewe unashangaa wanavo chambua mpira, wakija kwenye masuala ya vita ya Ukurain na Russia, israel na palastine utaomva Nato au UN security council wahamishe vikao vyao hapa Dar es salam mbagala........
Waulize kuhusu Sudan ya kusini au waasi wa Congo,hawajui kitu ila anajua uongozi wote wa Hezbulah
 
Waulize kuhusu Vita au Sudan ya kusini au waasi wa Congo,hawajui kitu
Hahaha Mtanzania anapenda mambo ya juu juu sio ya sudan au Congo, hata ya hapa Tanzania huenda asiajue ila atakueleza jinso Yahaya sinwar alivyo waawa duh.
 
Waulize kuhusu Vita au Sudan ya kusini au waasi wa Congo,hawajui kitu
Wanapoteza point ndio maana wanaishi kwa vinyongo ...Unamchukia mtu anayepigania ardhi yake wakati weusi kule congo hawana makazi wala chakula ..
 
Back
Top Bottom