Muda umefika Matola aondoke, Mo Dewj aondoke, ama aweke 20B

"We are unstoppable"

Hii kauli mbiu ya msimu haiendani na uwekezaji kwenye kikosi

Wachezaji kama Kyombo, Kibu, Akpan, Banda, Bocco, na Kapama hawana hadhi ya kuchezea Simba.
 
Matola na MO aondoke halafu wewe utuletee benchi la Ufundi na kufinance shughuli za timu na uendeshaji.

Tutolee ushabiki maandazi. Ngedele wewe!
 
Bocco
Kibu
Matola
Nyoni
Banda
Akpan

Hawatufai kama timu ya muda mrefu


Wafuatao wabadilike au wabadilishwe

Manura anafunga magoli ya kujirudia rudia sana
Lile goli siyo la kumlaumu Manula
 
Michezaji na golikipa wanakabia macho halafu lawama anapewa Matola na Mo!
 
Ww mpk sasa hivi umeweka B NGAPI??? au umejaa gubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…