TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Habari wadau..!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa.
Binafsi naona kama Tanganyika na Zanzibar hazijaungana bali zina mashirikiano katika baadhi ya mambo.
Nashauri sasa Tanzania (sio Tanganyika) na Zanzibar ziungane ili kusiwepo kitu inaitwa Zanzibar kuwe na nchi moja yenye kuungana katika kila nyanja vinginevyo itafika muda au kizazi ambacho kitaamini kwamba kinaonewa na upande mwingine.
Sote tunaupenda Muungano lakini Muungano huu kuna kizazi kitakuja au hata hiki kitauona kama hauna maana kwao nao wataomba kuji Kataarunya.
Kuna swala la mafuta na gesi ni swala la kimuungano lakini bara walipoona wamepata gesi wakaikataa Zenji kiaina .Leo Zenji wana gesi je nao waikatae bara kiaina???
Zile asilimia nazo kizungumkute,leo wa bara tukiambiwa tutoe asilimia tunaona tunakandamizwa,je nani aliidhunisha tuwe tunawapa asilimia??
Bado sijaelewa logic ya wale kuwa na TRA yao,bndera yao wakati Tanganyika hatuna bendera.
Ukinunua bidhaa kule kuleta bara lazima ulipe kodi na mambo mengine mengi.
Binafsi naona ni muda sasa wa kufanya Muungano mpya usio na vizuizi ,wala mipaka maana sisi tuliopo kidogo tunauelewa ila sidhani kama kizazi kijacho kitauelewa huu muungano.
Nawasalimu wote kwa jina la Tanganyika.