TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Kujitenga ngumu boss binafsi mke wangu ni Mpemba pia binamu yangu naye kaoa mpemba sisi sote ni mashemeji cha msingi tuondoe tu hiyo mipaka isiyo na maana tuunde Taifa moja kitambulisho kimoja ,jeshi moja ,kila kitu kimoja ila hivi tunavyoenda tuta tumia nguvu nyingi sana ila mwisho wa siku kitazaliwa kizazi jeuri kita uvunja muungano.Mimi naona tungejitenga tu. Au kuwe na serikali tatu, ili kuondokana na manung'uniko. Kama wataamua kutawaliwa tena na yule Sultan wao wa Oman, watawaliwe tu.
Kujitenga ngumu boss binafsi mke wangu ni Mpemba pia binamu yangu naye kaoa mpemba sisi sote ni mashemeji cha msingi tuondoe tu hiyo mipaka isiyo na maana tuunde Taifa moja kitambulisho kimoja ,jeshi moja ,kila kitu kimoja ila hivi tunavyoenda tuta tumia nguvu nyingi sana ila mwisho wa siku kitazaliwa kizazi jeuri kita uvunja muungano.
wazo la Muungano zuri ila jinsi lilivyotekelezwa ndio kiaina aina.Muungano wa kulinda na mtutu wa bunduki huo si muungano. Mkuu kwahiyo kila Mtanzania aliyeoa mke wa taifa jingine basi nchi hii iungane na Tanzania? Ama umeishiwa na hoja za utetezi wa huo muungano wa mabavu?
Nimefurahi kwa tathmini yako ya muungano. Huu sio muungano. Huu ni UHUSIANO wa mtawala na mtawaliwa. Tukitaka kuwa na muungano wa kuheshimika, turudi kwenye usawa na uadilifu. Tutafute watu 10 kutoka bara na kumi kutoka zanzibar wakae chini watuletee DRAFT ya namna kuungana halafu pia kama tunataka kura ya maoni, Zanzibar wafanye yao na tanganyika wafanye yao. Bunge la katika la muungano tuwe sawa sawa. Kama lilizo bunge la afrika mashariki, kila nchi inawakilishwa na wabunge 9 bila kujali ukubwa wake au wingi wa watu. UADILIFU, UKWELI na USAWA ndio utatuletea MUUNGANO WA HAKI na mapenzi. Vyenginevo tunaharibu wakati. Miaka 57 inatosha kukaa chini na kutafakari kama maslahi yapo au tugawane mbao kila mmoja kivyake vyake. Likija suala la ardhi, kweli ni suala gumu sababu 90% ya ardhi ya zanzibar ina wenyewe na wamenyang'anywa wakakatiwa watu eka tatu tatu. Sasa katika hali hii, hata hao katika serikali wanajuwa kama dhuluma ni kubwa na wakiendeleza dhulma hiyo na wao wengi waislamu wanajuwa dini yao imeeleza nini kuhusu kudhulumu. sasa ikiwa mutaingia kwa kishindo zanzibar mutajikuta hamna chenu. Sisi ardhi haitutoshi. Msuala ya kazi, hebu fikirieni, zanzibar ina nafasi ngapi za kazi. Na ikija sekta ya utalii, wanaofanya kazi mahoteli 95% ni watu wa bara kwa sababu wazanzbari wanakimbia kujihusisha na ulevi, na mambo kama hayo ya kitalii.. Bandarini ukitoka zenji uko sawa lakini ukifika daresalaam unatozwa ushuru. hayo masuala ya TRA na wanafanya hivo kukatiza bidhaa kutoka zenji kuingia bara. Anae nufaika na muungano huu sio Zanzibar bali ni bara.Habari wadau..!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa.
Binafsi naona kama Tanganyika na Zanzibar hazijaungana bali zina mashirikiano katika baadhi ya mambo.
Nashauri sasa Tanzania (sio Tanganyika) na Zanzibar ziungane ili kusiwepo kitu inaitwa Zanzibar kuwe na nchi moja yenye kuungana katika kila nyanja vinginevyo itafika muda au kizazi ambacho kitaamini kwamba kinaonewa na upande mwingine.
Sote tunaupenda Muungano lakini Muungano huu kuna kizazi kitakuja au hata hiki kitauona kama hauna maana kwao nao wataomba kuji Kataarunya.
Kuna swala la mafuta na gesi ni swala la kimuungano lakini bara walipoona wamepata gesi wakaikataa Zenji kiaina .Leo Zenji wana gesi je nao waikatae bara kiaina???
Zile asilimia nazo kizungumkute,leo wa bara tukiambiwa tutoe asilimia tunaona tunakandamizwa,je nani aliidhunisha tuwe tunawapa asilimia??
Bado sijaelewa logic ya wale kuwa na TRA yao,bndera yao wakati Tanganyika hatuna bendera.
Ukinunua bidhaa kule kuleta bara lazima ulipe kodi na mambo mengine mengi.
Binafsi naona ni muda sasa wa kufanya Muungano mpya usio na vizuizi ,wala mipaka maana sisi tuliopo kidogo tunauelewa ila sidhani kama kizazi kijacho kitauelewa huu muungano.
Nawasalimu wote kwa jina la Tanganyika.
Kabisa mkuu,Nimefurahi kwa tathmini yako ya muungano. Huu sio muungano. Huu ni UHUSIANO wa mtawala na mtawaliwa. Tukitaka kuwa na muungano wa kuheshimika, turudi kwenye usawa na uadilifu. Tutafute watu 10 kutoka bara na kumi kutoka zanzibar wakae chini watuletee DRAFT ya namna kuungana hala pia kama tunataka kura ya maoni, Zanzibar wafanye yao na tanganyika wafanye yao. Bunge la katika la muungano tuwe sawa sawa. KA lilizo bunge la afrika mashariki, kila nchi inawakilishwa na wabunge 9 bila kujali ukubwa wake au wingi wa watu. UADILIFU, UKWELI na USAWA ndio utatuletea MUUNGANO WA HAKI na mapenzi. Vyenginevo tunaharibu wakati. Miaka 57 inatosha kukaa chini na kutafakari kama maslahi yapo au tugawane mbao kila mmoja kivyake vyake.
Umefanya vizuri kuchanganya damu....Kujitenga ngumu boss binafsi mke wangu ni Mpemba pia binamu yangu naye kaoa mpemba sisi sote ni mashemeji cha msingi tuondoe tu hiyo mipaka isiyo na maana tuunde Taifa moja kitambulisho kimoja ,jeshi moja ,kila kitu kimoja ila hivi tunavyoenda tuta tumia nguvu nyingi sana ila mwisho wa siku kitazaliwa kizazi jeuri kita uvunja muungano.
Zanzibar wana passport yao kaka..Muungano huu ni wa ajabu na una mambo yanayotia kinyaa.
1. Kuna baraza la wawakilishi Visiwani.
2. Kuna mahakama kuu visiwani
3. Kuna bendera ya Zanzibar
4. Kuna wabunge wanaoingia Bunge la jamhuri tu na sio baraza la mapinduzi.
5. Tuna jeshi moja
6. Safaru moja lakini mamlaka za mapato mbili na forodha mamlaka mbili.
7. Tuna pasi moja ya kusafiria, maana yake Zanzibar sio dola (haina jeshi) - ni serikali tu.
8. Zanzibar ina Rais lakini haina kiti AU, UN wala haiwezi kuingia au kuridhia mikataba baina yake na mataifa mengine.
Sijui kwanini inaitwa jamhuri ya muungano wakati mambo makubwa hatujaungana!! Ni au serikali moja au tatu lakini hizo mbili zinaacha fedheha kubwa sana!
Muundo wa muungano uliopo ni wakiboya sana:Habari wadau..!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa.
Binafsi naona kama Tanganyika na Zanzibar hazijaungana bali zina mashirikiano katika baadhi ya mambo.
Nashauri sasa Tanzania (sio Tanganyika) na Zanzibar ziungane ili kusiwepo kitu inaitwa Zanzibar kuwe na nchi moja yenye kuungana katika kila nyanja vinginevyo itafika muda au kizazi ambacho kitaamini kwamba kinaonewa na upande mwingine.
Sote tunaupenda Muungano lakini Muungano huu kuna kizazi kitakuja au hata hiki kitauona kama hauna maana kwao nao wataomba kuji Kataarunya.
Kuna swala la mafuta na gesi ni swala la kimuungano lakini bara walipoona wamepata gesi wakaikataa Zenji kiaina .Leo Zenji wana gesi je nao waikatae bara kiaina???
Zile asilimia nazo kizungumkute,leo wa bara tukiambiwa tutoe asilimia tunaona tunakandamizwa,je nani aliidhunisha tuwe tunawapa asilimia??
Bado sijaelewa logic ya wale kuwa na TRA yao,bndera yao wakati Tanganyika hatuna bendera.
Ukinunua bidhaa kule kuleta bara lazima ulipe kodi na mambo mengine mengi.
Binafsi naona ni muda sasa wa kufanya Muungano mpya usio na vizuizi ,wala mipaka maana sisi tuliopo kidogo tunauelewa ila sidhani kama kizazi kijacho kitauelewa huu muungano.
Nawasalimu wote kwa jina la Tanganyika.
Bora kila upande ukabaki kivyakeMimi naona tungejitenga tu. Au kuwe na serikali tatu, ili kuondokana na manung'uniko. Kama wataamua kutawaliwa tena na yule Sultan wao wa Oman, watawaliwe tu.
Maana huu Muungano umekaa kimtego mtego sana. Naona kama tuna wabembeleza sana Wanzanzibar, kana kwamba tunafaidika sana na huo Muungano! Kumbe wao ndiyo wanafaidi zaidi.
Kabisa! Maneno na sifa ni nyingi kuliko vitendo.wazo la Muungano zuri ila jinsi lilivyotekelezwa ndio kiaina aina.