Muda umeongea: Yanga ndio Industry ya mpira hapa nchini

Nakukumbusha tu kuwa Saido alicheza kipindi kimoja na Sarpong. Hiyo industry imeshindwa kumbadilisha Kisinda, imefeli kwa makambo. Ambindo aliacha ofa ya kwenda Watford akaja yanga.
Azizi Ki alikuwa MVP wa Ivory Coast lakini tunajua wazi ligi ikiisha atakuwa amezidiwa na kina SAKHO na Kibu Denis na hata kwenye list ya wanaowania tuzo hatakuwepo.
Saido, Feisal na Ki wamekuja yanga wakiwa kwenye peak ya uchezaji lakini wote hakuna aliyeweza kuonekana wa maana.
 
Labda utueleze kwanza maana ya industry kwahyo saidoo katoka kwenye industry ya yanga[emoji119][emoji119][emoji119]
 
You can't be serious, yaani Saidoo amefunfishwa mpira yanga? Maana hiyo huko ulaya alianzia academy yenu,sio?
 
You can't be serious, yaani Saidoo amefunfishwa mpira yanga? Maana hiyo huko ulaya alianzia academy yenu,sio?
Bila Yanga....makolo wangemjua saido,,,,???
 
Utabir kama huo ......ndio umemfanya mahana Jr .....kukimbia Uzi wa "jezi ya Yanga nzito"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…