Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Nakukumbusha tu kuwa Saido alicheza kipindi kimoja na Sarpong. Hiyo industry imeshindwa kumbadilisha Kisinda, imefeli kwa makambo. Ambindo aliacha ofa ya kwenda Watford akaja yanga.Salaam Wana JF
Ukiondoa ushabiki, akili Banda, uchawa na kuusimamia ukweli wa mpira unaweza kuona ni jinsi Gani Yanga ni industry Bora Kwa maendeleo ya mpira Kwa sababu zifuatazo:
1. Feitoto amekuja Yanga Hana kitu...japo anapenda mpira, Yanga ikamchagulia awe muokoaji wa timu inapopita kwny hustling kali kupata matokeo.....hivyo ikamfundisha kuwa mpiga mashuti
Saido, amekuja Yanga, kajifunza kuwa na bidii ( kuhustle) then kuisaidia timu kupata tokeo
The same as Aziz ki
Je bado hujaona contribution ya Yanga?????????
Mpira ni sayansi .....tuache kuchanganya mahaba & uchambuzi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
Jezi ya Yanga ni 'NZITO'
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo Rangi, maumbo na michoro kiroho huwakilisha vitu vikubwa sana.. Na in fact hesabu za kiroho ziko kwenye hayo mambo matatu..RANGI...www.jamiiforums.com
Azizi Ki alikuwa MVP wa Ivory Coast lakini tunajua wazi ligi ikiisha atakuwa amezidiwa na kina SAKHO na Kibu Denis na hata kwenye list ya wanaowania tuzo hatakuwepo.
Saido, Feisal na Ki wamekuja yanga wakiwa kwenye peak ya uchezaji lakini wote hakuna aliyeweza kuonekana wa maana.