Muda wa Che Malone kukaa bench umefika

Muda wa Che Malone kukaa bench umefika

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.

Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.

Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.

Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.

Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
 
Kama si Hongo kwa refa, Jana akustahili kuendelea na mchezo, Red card ya wazi ilimuhusu.
Bahati ni mechi za shirikisho hakuna anaye jali kwakua Zina hadhi ya Ndondo cup.
 
Kwanza nadhani hauna uelewa mkubwa kwenye Eneo la mpira maana umetoa tuhuma za Moja Kwa moja kwake.
Mechi ya Simba na Constantine alijifunga Hamza ni beki mbaya ?
Malone ana kawaida ya kujiamini akiwa na mpira, na hii sio kosa ni kwa sababu ana control nzuri mguuni, Jana alijaribu kupiga chenga ikishindikana Ika naswa Simba ikafungwa.
Je kosa Hilo limeondoa ubora wake ? Jibu ni Hapana kwa sababu kupiga chenga ndani ya box la Simba amefanya mara nyingi Sana na ana fanikiwa na kupongezwa. Kwa Nini kocha alimtoa ? Jibu ni kwa sababu Baada ya kupinga chenga ikashindikana akasababisha goli alipata presha kubwa muda mwingi hakuwa mchezoni.Ili kutunza ubora wake kocha aliamua kumtoa Ili kumpa muda wa kukaa sawa Kwa mechi zingine.
Mwisho TUNAPO toa maoni tuwatendee haki wale tunao watolea maoni kwa sababu wao hawapati nafasi ya kujibu hoja zetu.

Mwisho nitajie makosa ya Malone kwenye mechi Tano ndani ya ligi na makosa mawili tu kwenye mechi za Kimataifa Ili nipate mwanga wa udhaifu wake.
 
Karibia mechi zote za kimataifa Che Malone ametoa Boko na sio mbili tu ulizotaka ufafanuzi .
Kuna Ma Boko kaya sababisha na Simba haikuweza kuadhibiwa na mengine ime adhibiwa.
Kule Libya alitoa Boko la penalty ila Refa aka potezea
Mechi ya Constantine yeye ndiye aliye toa Boko kwa kupiga kichwa mkaa na mpira uka mkuta mfungaji aliye tandika shuti na kufunga.

Mechi ya Jana Ali mshika mtu akiwa yeye wa mwisho alistahili red card.
Mbaya zaidi Makosa mengi anayafanya mpira ukiwa katika umiliki wake au akiwa yeye anaonekana yupo karibu zaidi na mpira.

Tatizo lake anajiamini ila hajui kama yeye ni Mzito.
Ata kwenye Ligi anafanya makosa karibu Kila mechi ila waamuzi wanakosea kibinadamu.
Hamza na chem alone ni wazuri ila wazito.
 
Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.

Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.

Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.

Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.

Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Ulitakiwa pia umuweke na mbadala wake. Kinyume na hapo, timu itacheza pungufu.
 
Karibia mechi zote za kimataifa Che Malone ametoa Boko na sio mbili tu ulizotaka ufafanuzi .
Kuna Ma Boko kaya sababisha na Simba haikuweza kuadhibiwa na mengine ime adhibiwa.
Kule Libya alitoa Boko la penalty ila Refa aka potezea
Mechi ya Constantine yeye ndiye aliye toa Boko kwa kupiga kichwa mkaa na mpira uka mkuta mfungaji aliye tandika shuti na kufunga.

Mechi ya Jana Ali mshika mtu akiwa yeye wa mwisho alistahili red card.
Mbaya zaidi Makosa mengi anayafanya mpira ukiwa katika umiliki wake au akiwa yeye anaonekana yupo karibu zaidi na mpira.

Tatizo lake anajiamini ila hajui kama yeye ni Mzito.
Ata kwenye Ligi anafanya makosa karibu Kila mechi ila waamuzi wanakosea kibinadamu.
Hamza na chem alone ni wazuri ila wazito.
Nenda kashtaki fifa ndugu zuzu...naona toka jana hujalala viungo vyote vimenywea hahahaha
 
Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.

Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.

Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.

Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.

Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Che Malone amechoka anahitaji kupumzika hilo ndio nimeliona mimi pia wacheze mabeki 3 wakiwa away na si 2 hii itamsaidia akifanya makosa watu warekebishe,aliomba hadi kutoka jana baada yakuona mpira umemkataa
 
Kocha kama hawezi kumurekebisha mapema, basi amtafutie mbadala mapema maana huko tuendako ni hatari.
 
Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.

Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.

Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.

Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.

Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Awe anapumzishwa maana huyu amekuwa kama tegemeo kwa timu ya Simba sana kipindi hiki,anacheza sana makosa yapo tu
 
Huyu beki wa simba amekuwa na makosa mengi ya kijinga ambayo yamekuwa yakiigharimu timu.

Jana kasababisha goli kwa kosa la ajabu na lisilo ingia akilini kabisa.

Kwenye mechi ya Algeria aliokoa mpira kwa kupiga kichwa cha kindezi akasababisha goli, bado hatujaongelea makosa yake ambayo yamefutwa na goli kipa na mabeki wenzie.
Hiyo nimetoa kama mifano lakini ni huyu jamaa anafanya makosa karibia kila mechi.

Watu wana husisha makosa yake na kujiamini kupita kiasi lakini sio kweli bali ndo uhalisia wake ,kwa sababu makosa yake yamekuwa yakijirudia karibia kila mechi.

Sasa nadhani ni muda wa kuanzia bench labda ataanza kufanya majukumu yake kwa umakini.
Nenda zako wewe hujui mpira. Je ungelikuwa shabiki wa Arsenal enzi zile Konsciely anajifunga magoli mawili mechi Moja au shabiki wa Chelsea enzi Huth anasababisha penati mbili mechi moja mara mbili mfululizo si ungewaroga kabisa!? KUMBAVU!!!
 
Kwanza nadhani hauna uelewa mkubwa kwenye Eneo la mpira maana umetoa tuhuma za Moja Kwa moja kwake.
Mechi ya Simba na Constantine alijifunga Hamza ni beki mbaya ?
Malone ana kawaida ya kujiamini akiwa na mpira, na hii sio kosa ni kwa sababu ana control nzuri mguuni, Jana alijaribu kupiga chenga ikishindikana Ika naswa Simba ikafungwa.
Je kosa Hilo limeondoa ubora wake ? Jibu ni Hapana kwa sababu kupiga chenga ndani ya box la Simba amefanya mara nyingi Sana na ana fanikiwa na kupongezwa. Kwa Nini kocha alimtoa ? Jibu ni kwa sababu Baada ya kupinga chenga ikashindikana akasababisha goli alipata presha kubwa muda mwingi hakuwa mchezoni.Ili kutunza ubora wake kocha aliamua kumtoa Ili kumpa muda wa kukaa sawa Kwa mechi zingine.
Mwisho TUNAPO toa maoni tuwatendee haki wale tunao watolea maoni kwa sababu wao hawapati nafasi ya kujibu hoja zetu.

Mwisho nitajie makosa ya Malone kwenye mechi Tano ndani ya ligi na makosa mawili tu kwenye mechi za Kimataifa Ili nipate mwanga wa udhaifu wake.
Che Malone mechi zote huwa ana toa boko sema makosa yake huwa yanafutwa na kipa na mabeki wenzie.
 
Simba safu yake ya ulinzi Ina matatizo Wala sio che mallon peke yake ni udhaifu wa safu yao nzima ya walinzi wa kati,,rejea kauli ya mchezaji wa coast union walipotoa sare na Simba alisema mabeki wao uwa wanatetemeka wakishambuliwa awajiamini,,na ukitaka kuliona ilo timu pinzani iwe inapiga mipira katikati ya mabeki wao au migongoni mwa mabeki wao utaona watavyotoa maboko,,ni udhaifu ambao uwa inawapa shida sana pindi wanaposhambuliwa na wale bravos walinga'amua iyo shida wakawa wanatumia mipira mirefu wanaidondosha kati kati yao au migongoni mwao bahati MBAYA awakuwa wakatili kwenye eneo lao la mwisho wangeondoka na hat trick!
 
Kwanza nadhani hauna uelewa mkubwa kwenye Eneo la mpira maana umetoa tuhuma za Moja Kwa moja kwake.
Mechi ya Simba na Constantine alijifunga Hamza ni beki mbaya ?
Malone ana kawaida ya kujiamini akiwa na mpira, na hii sio kosa ni kwa sababu ana control nzuri mguuni, Jana alijaribu kupiga chenga ikishindikana Ika naswa Simba ikafungwa.
Je kosa Hilo limeondoa ubora wake ? Jibu ni Hapana kwa sababu kupiga chenga ndani ya box la Simba amefanya mara nyingi Sana na ana fanikiwa na kupongezwa. Kwa Nini kocha alimtoa ? Jibu ni kwa sababu Baada ya kupinga chenga ikashindikana akasababisha goli alipata presha kubwa muda mwingi hakuwa mchezoni.Ili kutunza ubora wake kocha aliamua kumtoa Ili kumpa muda wa kukaa sawa Kwa mechi zingine.
Mwisho TUNAPO toa maoni tuwatendee haki wale tunao watolea maoni kwa sababu wao hawapati nafasi ya kujibu hoja zetu.

Mwisho nitajie makosa ya Malone kwenye mechi Tano ndani ya ligi na makosa mawili tu kwenye mechi za Kimataifa Ili nipate mwanga wa udhaifu wake.
Huko kujiamini kupita kiasi ndio kosa lenyewe. Kunguru mwoga anaishi siku nyingi
 
Back
Top Bottom