Muda wa kufanya application

Muda wa kufanya application

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
247
Reaction score
135
Naombe kujua, kwa kozi za ufundi I mean technical college. Muda wa application mwisho tarehe ngapi..?
Na je ukichaguliwa ukichaguliwa kozi ngazi ya certificate unaweza kufuta na ku apply kozi nyingine level ya diploma??
 
[emoji1787][emoji1787]
Radiology,Nursing, Physiotherapy leo kozi za ufundi!! huelewi uende wapii au shida ni nini watu wakusaidie?
 
[emoji1787][emoji1787]
Radiology,Nursing, Physiotherapy leo kozi za ufundi!! huelewi uende wapii au shida ni nini watu wakusaidie?
#kwenye kozi za afya ni mimi binafsi, Ila kuna jamaa yangu yeye ndo anataka kwenda technical college sa alichaguliwa kozi ya geology and gemstones ngazi ya certificate ndo alikuwa anauliza ☝️☝️ hilo swali.
Ye anataka kusoma civil engineering.
Ndo swali hilo nimelileta kwenu wadau.
 
#kwenye kozi za afya ni mimi binafsi, Ila kuna jamaa yangu yeye ndo anataka kwenda technical college sa alichaguliwa kozi ya geology and gemstones ngazi ya certificate ndo alikuwa anauliza [emoji3516][emoji3516] hilo swali.
Ye anataka kusoma civil engineering.
Ndo swali hilo nimelileta kwenu wadau.
#naomba nikutumie sms
Ok
 
Back
Top Bottom