Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu ametengeneza JANGAAAAHakuna ajira hapo
Jamani hizi ajira ni kama betting,si za kutegemea saana yaani walioomba 89,000 lakini nafasi ni 6,000....!!!!
Afya ni Ajira 2700, waombaji 31,000.Hali ni tete, watu ni wengi sana ila nafasi ni chache
HakikaMagu ametengeneza JANGAAAA
Mazingira ya rushwa mzeebaba..Sasa waombaji ni elfu 89 ! Wanaotakiwa ni elfu 6! Muda unaongezwa wa nini wakati hapo idadi imeshajitoleza na kuzidi.!?
Hili nalo neno! Maana katika hali ya kawaida haiwezekani siku ziongezwe ikiwa idadi ya maombi ni mara elfu ya idadi inayopaswa kuajiriwa!Mazingira ya rushwa mzeebaba..
Nashangaa.Sasa waombaji ni elfu 89 ! Wanaotakiwa ni elfu 6! Muda unaongezwa wa nini wakati hapo idadi imeshajitoleza na kuzidi.!?
Magu aliharibu sana mfumo wa ajira.Afya ni Ajira 2700, waombaji 31,000.
Na muda wa maombi umeongezwa[emoji1787]
Hiyo ni zaidi ya kucheza BIKO
Hivi ajira za serikali ni waalimu na wataalamu wa afya tu au secta zingine kama mainjinia, geolojia , mafuta na gas,anga etc wamejitoshekeza?
Kudanganyana tu....Hakuna ajira hapo
Jamani hizi ajira ni kama betting,si za kutegemea saana yaani walioomba 89,000 lakini nafasi ni 6,000....!!!!
Rubbish and stupid, kwa wingi huu unatumia vigezo gani kuchuja? Definitely RUSHWA/NDUGUNISATION/KUJUANA