thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Sijaona makosa kwenye barua.Mimi ndiyo maana niliacha somo la hesabu
20,975 + 78,808 = 99, 783. Lakina hapo tumeambiwa jumla ya waombaji kada ya ualimu ni 89, 958.
Waliosema namba hazidanganyi kumbe waongo tu.
Jumla ya waombaji elimu - 99, 783
Waliokamilisha maombi - 89, 958
Afya waombaji - 49,951
Waliokamilisha maombi - 31,673