Muda wa kuomba ajira za walimu na watu wa afya waongezwa

Pia! kulikuwa na ulazima gani wa kutaja idadi ya waombaji huku mkijua idadi ya wanaotakiwa ni ndogo.!?
Hamuoni kama italeta presha na panic kwa waombaji na hata kurubunika kutoa rushwa ili wapate ajira.!?
 
Ndani ya wiki 2 tu (Siku 14) waombaji kada ya Elimu wamefika elfu 89. Ni kiashilia cha ukosefu mkubwa wa ajira kwa wahitimu.
 
Mimi ndiyo maana niliacha somo la hesabu
20,975 + 78,808 = 99, 783. Lakina hapo tumeambiwa jumla ya waombaji kada ya ualimu ni 89, 958.
Waliosema namba hazidanganyi kumbe waongo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…