Sijaona makosa kwenye barua.Mimi ndiyo maana niliacha somo la hesabu
20,975 + 78,808 = 99, 783. Lakina hapo tumeambiwa jumla ya waombaji kada ya ualimu ni 89, 958.
Waliosema namba hazidanganyi kumbe waongo tu.
Ajabu kweli! Badala ya kuongeza ajira wanaongeza siku za kuomba sijui itasaidia nini! Kama wameongeza muda kwa minajiri ya ndugu zao pia tuambiwe!Nashangaa.
Halafu tunawaongezea muda ili wawe wengi zaidi ya hapo ili nafasi ya mtu kuchaguliwa izidi kuwa ndogo zaidi!!!!Hali ni tete, watu ni wengi sana ila nafasi ni chache
Huu ndio uchawi wenyewe sasaHalafu tunawaongezea muda ili wawe wengi zaidi ya hapo ili nafasi ya mtu kuchaguliwa izidi kuwa ndogo zaidi!!!!
Dah asee, elimu elf99 na afya elf49.......Sasa situfunge vyuo kwa muda maana naona supply imezid demand, isitoshe hizo ni sekta ambazo mtu kujiajiri ni ngumu sanaSijaona makosa kwenye barua.
Jumla ya waombaji elimu - 99, 783
Waliokamilisha maombi - 89, 958
Afya waombaji - 49,951
Waliokamilisha maombi - 31,673