HOJA Muda wa kuosha mwili ndugu wote tulitolewa nje (Kituo cha Afya Mlandizi), je hii ni sawa?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
1777557056559.jpeg
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.

Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.

JE HII NI SAHIHI ????
 
Hoja yenu ni kumuosha ndugu yenu tu au mlikuwa na lingine?
 
What if imenyofolewa figo au organ nyengine kimya kimya mtajuaje? Dunia hii kila kitu bei.
Inabidi atunyoshee naelezo

Mgonjwa alikuwa anaugua magonjwa gani? Yakampelekea umauti

Then tu discuss kuhusu hilo jambo

Kama alikuwa anaumwa malaria tu then akakutwa amefanyiwa upasuaji tutahoji kwann? Amefanyiwa upasuaji

Then si walipewa mwili ili wakaustiri.. vipi? Hawakuukagua na kujua ulifanyiwa nn? Tunaomba tunyoshewe maelezo

Haya mambo yanauma sana yasikieni tu yanatokea kwa wenzenu
 
What if imenyofolewa figo au organ nyengine kimya kimya mtajuaje? Dunia hii kila kitu bei.

What if haiendani na criminal offence. Are you accusing them? Kama walichukua organ yoyote ya marehemu kuosha haisadii kitu lazima itaonekana tu
 
Unafikiri mwili wa marehemu ulikuwa na dhahabu wameiba?
Mchele wa msibani huwa mtamu kama sio kwenu, na chizi anachekesha kama si ndugu yako, hata hili utaliona halina maana kama marehemu hakuwa ndugu yako
 
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.

Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.

JE HII NI SAHIHI ????
Aongee zaidi ameongea nusu nusu .....waliomba ndugu mmoja kubakia wakakataliwa ? Walivyopokea mwili walikuta una dosari ? ....ilikuwa kuosha tu au post moterm ilifanyika ?
 
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.

Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.

JE HII NI SAHIHI ????
Unataka ushuhudie marehemu akioshwa?
 
What if imenyofolewa figo au organ nyengine kimya kimya mtajuaje? Dunia hii kila kitu bei.
hakuna organ inayokuwa intact masaa kadhaa baada ya mtu kufa (hadi kufikia muda wa kuosha manake alishakaa mortuary, hakuna organ itakayokuwa safi kwa matumizi)
 
Mchele wa msibani huwa mtamu kama sio kwenu, na chizi anachekesha kama si ndugu yako, hata hili utaliona halina maana kama marehemu hakuwa ndugu yako

Wabongo wanapenda zengwe tu, tokeni nje watu wafanye kazi yao kisha mchukue ndugu yenu mkazike. Sasa mnataka mshuhudie kwani mmeambiwa ananyongwa?
 
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.

Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.

JE HII NI SAHIHI ????
Kama mlikuwa na mashaka mngeomba kufanya maandalizi wenyewe na wao wakaendelea na majukumu mengine. Poleni sana.
 
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.

Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.

JE HII NI SAHIHI ????
Watu wanaponda tu lakini ukweli ni kwamba mlipaswa hata ndugu mmoja awemo kwa sababu dunia imeharibija kuna wizi wa viungo vya maiti vinaitwa vizimba!
 
Na ukweli mbaya ni kuwa Wanaume wengi hasa ndio hutoa tenda kwa Watumishi wa mortuary ili waoshe jamaa zao, ila akina Mama ni tofauti, hilo zoezi hufanywa na ndugu wa marehemu.
 
Back
Top Bottom