HOJA Muda wa kuosha mwili ndugu wote tulitolewa nje (Kituo cha Afya Mlandizi), je hii ni sawa?

HOJA Muda wa kuosha mwili ndugu wote tulitolewa nje (Kituo cha Afya Mlandizi), je hii ni sawa?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.

Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.

JE HII NI SAHIHI ????
Hivi Mlandizi ipo Mkoa gani?
 
Back
Top Bottom