A
Hoja yenu ni kumuosha ndugu yenu tu au mlikuwa na lingine?Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.
Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.
JE HII NI SAHIHI ????
Afrika kuna mambo.Alitakiwa awe po ndugu mmoja kushuhudia
Unafikiri mwili wake marehemu ulikuwa na dhahabu wameiba?
Inabidi atunyoshee naelezoWhat if imenyofolewa figo au organ nyengine kimya kimya mtajuaje? Dunia hii kila kitu bei.
What if imenyofolewa figo au organ nyengine kimya kimya mtajuaje? Dunia hii kila kitu bei.
Mchele wa msibani huwa mtamu kama sio kwenu, na chizi anachekesha kama si ndugu yako, hata hili utaliona halina maana kama marehemu hakuwa ndugu yakoUnafikiri mwili wa marehemu ulikuwa na dhahabu wameiba?
Aongee zaidi ameongea nusu nusu .....waliomba ndugu mmoja kubakia wakakataliwa ? Walivyopokea mwili walikuta una dosari ? ....ilikuwa kuosha tu au post moterm ilifanyika ?Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.
Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito
Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.
JE HII NI SAHIHI ????
Kushuudia nini?Alitakiwa awe po ndugu mmoja kushuhudia
Unataka ushuhudie marehemu akioshwa?Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.
Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito
Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.
JE HII NI SAHIHI ????
Liko kisheriaAfrika kuna mambo.
hakuna organ inayokuwa intact masaa kadhaa baada ya mtu kufa (hadi kufikia muda wa kuosha manake alishakaa mortuary, hakuna organ itakayokuwa safi kwa matumizi)What if imenyofolewa figo au organ nyengine kimya kimya mtajuaje? Dunia hii kila kitu bei.
Mchele wa msibani huwa mtamu kama sio kwenu, na chizi anachekesha kama si ndugu yako, hata hili utaliona halina maana kama marehemu hakuwa ndugu yako
Kama mlikuwa na mashaka mngeomba kufanya maandalizi wenyewe na wao wakaendelea na majukumu mengine. Poleni sana.Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.
Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito
Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.
JE HII NI SAHIHI ????
Watu wanaponda tu lakini ukweli ni kwamba mlipaswa hata ndugu mmoja awemo kwa sababu dunia imeharibija kuna wizi wa viungo vya maiti vinaitwa vizimba!Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe.
Soma Pia: Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito
Wiki tatu nyuma tulifika pale Kituo cha Afya Mlandizi – Zahanati ili tuchukue mwili tukazike lakini wakati wa kuandaa mwili tulitolewa wote hakuna hata ndugu mmoja aliruhusiwa kubaki ndani.
JE HII NI SAHIHI ????
Na ukweli mbaya ni kuwa Wanaume wengi hasa ndio hutoa tenda kwa Watumishi wa mortuary ili waoshe jamaa zao, ila akina Mama ni tofauti, hilo zoezi hufanywa na ndugu wa marehemu.Watu wanaponda tu lakini ukweli ni kwamba mlipaswa hata ndugu mmoja awemo kwa sababu dunia imeharibija kuna wizi wa viungo vya maiti vinaitwa vizimba!