Muda wa majonzi nchini umeisha sasa Rais Samia ajiandae kwa kazi

Muda wa majonzi nchini umeisha sasa Rais Samia ajiandae kwa kazi

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Baada ya nchi kupita kwenye majonzi na uzoefu tofauti wa kufiwa na rais aliyeko madarakani yaani hayati Magufuli.

Sasa ni dhahiri wapinzani wake wameshaelewa utawala wa Samia. Kama ilivyo kwa watangulizi wake; Mwaka wa kwanza huwa ni wa kulekebisha palipoharibiwa na watangulizi baada ya hapo rais anaanza kufanya mambo kutokana uwezo wake. Na hapo ndipo watu huanza kukosoa.

Hivyo sasa Samia ajipange kuvumilia kokosolewa kwa namna yoyote na wapinzani wake wa ndani na nje ya chama.

Nimeona kuna mmoja kesho anahutubia tabia kesho.
 
Nimeona kuna mmoja kesho anahutubia tabia kesho.

Mkuu ni anahutubia tabia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au taifa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom