GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!Jana usiku baada ya kusoma hiyo ripoti ya Ajali ya ndege Bukoba nikaanza kupitia mabandiko yako humu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!Jana usiku baada ya kusoma hiyo ripoti ya Ajali ya ndege Bukoba nikaanza kupitia mabandiko yako humu..
Yaan PM ni muongo akishirikian na Chalamila waliamua kutupiga changa la macho kuua soo, wakamtengeneza Majaliwa wa mchongo wakampa ushujaa?Premier Wetu ni Certified International Liar.
Wakati mwingine akili zako zinahamiaga matakoni.Ninaye ( Nitamuandama ) mpaka Akiri kuwa Yeye siyo Shujaa wa Uokoaji na kwamba alipangwa tu Kimkakati na Wazee wa Kitengo kwa Uratibu wa Premier Wetu 'Samjo Samjo' ili Kufunika Uzembe kutoka katika Mamlaka ya Mkoa na Serikali husika ( Wizara ) juu ya huo Uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Umeandika mashudu, soma ww ulichoandika ndio utajua umeandika upupu au laSoma nilichoandika kwa umakini,kabla ujaanza kukoroma.
Aumbuke kwa lipi? yeye alikuwemo kwenye ndege? alikuepo wakiokolewa!??? Pathetic...Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) Premier ( WM ) Kassim Majaliwa sasa ndiyo muda wake wa kwenda Kuumbuka.
Kijana ana nyota kali sanaBaadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja Kuwaokoa Wote hakuwa Tapeli ( Samjo ) Majaliwa Jackson kama Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alivyoendelea na Utamaduni wake 'Maalum' aliojiwekea wa Kutudanganya Kunakotukuka Watanzania kama ule wa Tukio Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021.
Taarifa za Awali na zenye uhakika kutoka kwa Wajumbe ambao pia ni Wabobezi wa Uchunguzi hasa wa Masuala ya Aviation zinasema kwamba Wavuvi wote kwa Ujumla wao ndiyo walisaidia katika Kuokoa na Kuwavusha Abiria hadi Ufukweni na Samjo ( Tapeli ) Majaliwa Jackson ( Muokoaji wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ) hakuokoa pekee na wala hakupiga hizo Mbizi hadi kule chini iliko Cockpit ya Ndege na Kuonana na Marubani ambao walimpungia Mikono.
Muda wa Muongo Mkuu wa Taifa la Tanzania Premier Majaliwa na Msaidizi wake RC wa Kagera Chalamila Kuumbuka kuhusu kututeulia huyo Muokoaji Muongo Muongo ( Samjo Samjo ) Majaliwa Jackson unakaribia na msisahau kuwa Wanadamu tutadanganya ila Teknolojia na Uhalisia kamwe huwa havidanganyi.
Wale mnaoniuliza kwanini GENTAMYCINE namuandama mno Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa Kassim na simkubali Muokoaji Majaliwa Jackson majibu yenu ni haya yafuatayo.....
Niulizieni Kwake alifikiria nini na alituonaje Watanzania mpaka Kutudanganya vile kuwa Mtu ni mzima na anachapa zake Kazi Magogoni Ofisini wakati kumbe tayari alikuwa katika Friji ya Awali ya Mzena kabla ya kuhamishiwa katika ile iliyojengwa kwa Msaada wa Marafiki zetu Wajerumani ( Maalum na ya Kisasa ) iliyoko Lugalo ndani ya Chuo chao cha Tiba?
Kwa huyu Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) Muokoaji Majaliwa Jackson naomba niulizieni Kwake je, alipozama chini ya Maji hadi kwenda Kuwasabahi ( Kuwasalimia ) Marubani waliompungia mkono aliwakuwa Hai au tayari Wameshatuaga Kidunia?
Kubwa zaidi niulizieni Kwake Tapeli Tapeli ( Samjo Samjo ) Muokoaji Majaliwa Jackson kuwa ni kwanini 99% ya Wavuvi Wenzake kila Wakihojiwa kuhusu Yeye kufanya Uokoaji huo ambao Watanzania tumedanganywa na Mdanganyaji Mkuu wa Taifa ( Premier Wetu ) wote Wanamkana na sasa wameenda mbali zaidi Kuhoji iweje awe Yeye pekee wakati kama ni Zoezi zima la Uokoaji limefanyika kwa pamoja na tena wako wengine waliojitoa Mhanga zaidi yake pale katika Maji yale ( ilipoangukia Ndege ) lakini wala hawana Makuu na Shobo kama Yeye?
Kuwapiga changa la macho wewe na nani? mmeo? ili apate nini? kuua soo lipi kwa mfano? yeye ndo aloangusha ndege?Yaan PM ni muongo akishirikian na Chalamila waliamua kutupiga changa la macho kuua soo, wakamtengeneza Majaliwa wa mchongo wakampa ushujaa?
Dogo uwe na nidhamu sawa? Kua na nidhamu sio kila unaemuona humu ni saizi yako, sitaongea tenammeo?
Hahahaaa... pathetic...Dogo uwe na nidhamu sawa? Kua na nidhamu sio kila unaemuona humu ni saizi yako, sitaongea tena
HakikaDogo kaula sio muda ataanza kula mbususu za slay-queen wa Mzizima.
Genta,mbivu na mbichi zimeshaanza kujulikanaBaadhi ya Wajumbe wanaoiandaa hiyo Ripoti huku wakiendelea na Uchunguzi wa mwisho mwisho wanasema Ushahidi wa Vifaa Maalum vilivyomo katika Ndege vinaonyesha Milango ilifunguliwa na Wahudumu wa Ndege kwa kusaidiana na baadhi ya Abiria waliokuwepo Ndani na hata pale ulipofunguka waliokuja Kuwaokoa Wote hakuwa Tapeli ( Samjo ) Majaliwa Jackson kama Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alivyoendelea na Utamaduni wake 'Maalum' aliojiwekea wa Kutudanganya Kunakotukuka Watanzania kama ule wa Tukio Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021.