Muda wa 'Shujaa Feki' wa Uokoaji Majaliwa Jackson na aliyemsifia 'Samjo Samjo' WM Kassim Majaliwa 'Kuumbuka' Unakaribia

Wakati mwingine akili zako zinahamiaga matakoni.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Waliharakisha habari kabla ya uchunguzi....

Sasa Kwa wachunguzi walisahahu kuwapa rushwa ili report iendane na maneno yao...

Waadhibiwa Kwa kumdanganya mpaka amri Jeshi mkuu...
 
Kijana ana nyota kali sana
 
Yaan PM ni muongo akishirikian na Chalamila waliamua kutupiga changa la macho kuua soo, wakamtengeneza Majaliwa wa mchongo wakampa ushujaa?
Kuwapiga changa la macho wewe na nani? mmeo? ili apate nini? kuua soo lipi kwa mfano? yeye ndo aloangusha ndege?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
You never disappoint mkuu, hoja zako huwa zinamantiki mnoo tatizo wa Tz tunapenda kubeza vitu bila kuwaza kiundani zaidi.
Hollywood imehamia kwa gvn[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna kitakacho badilika muda wake wa milango ya rizk kufunguka ulishafika alichoandikiwa kukipata atakipata hata dunia nzima iungane kukizuia na alichoandikiwa kukikosa atakikosa hata dunia nzima iungane kumpatia
 
Genta,mbivu na mbichi zimeshaanza kujulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…