Muda wa 'Shujaa Feki' wa Uokoaji Majaliwa Jackson na aliyemsifia 'Samjo Samjo' WM Kassim Majaliwa 'Kuumbuka' Unakaribia

Sidhani kama Serikali itaikubali aibu hii!
Ripoti itafungiwa Kabatini mpaka Watanzania kama kawaida yetu tutakaposahu! Na ukizingatia Upinzani ulishazibwa mdomo tusahu.
 
Kumbe shujaa wetu Majaliwa Ana maadui wengi hiv Majaliwa tupo pamoja hata wazikiri uch.... Majaliwa Soma kozi yako vizuri ajira ndo hiyo Hata wafanyeje mama harudi nyuma..
Enjoy Majaliwa Hawa ndo Watanzania Husda Ni nyingi
 
Ndugu yangu labda waliokuwa wanaokolewa ni magunia ya viazi ndio mana sirikali imemsahau kabisa na waliokuwa wanaokolewa kwenye ndege ni watu maalum ndio mana dogo kaula
 
Mbona naona kama umeandaa huu uzi ukiwa na lundo la wivu!?,

Haijaarishi amefikaje pale ila ndo amekuwa yeye!

Huo ukweli baki nao ila kwenye maisha tumuache asonge na afike pale anapotarajia,

Huna namna Tena ndo yameshatokea.. Sasa hivi achana nalo hili kama ukiweza jadili la Dr. Bashiru ndo tulilonalo Sasa hivi, haya mengine sisi tumeshasahau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Wana wivu sana
 
Nchi inalipa gharama za KUUA DEMOKRASIA!
 
Majaliwa na wavuvi wenzake watabaki kuwa mashujaa siku zote.Kwa sababu walifanya kazi ya kuwaokoa abiria na wahudumu wa ndege.Labda nikuulize swali ndugu mnyarwanda.Je abiri Victor,na wenzake na pia wahudumu waliogolea mpaka pwani.?Ukisema ndio niite mbwa.Ukisema hapana funga bakuli lako chafu kulaumu mashujaa wetu kina Majaliwa na wavuvi wote.
 
Dogo hata ukiangalia picha zake za bungeni alikua kakaa ana mawazo sana alikua anatafakari ni jinsi gani amewadanganya watanzania now haskiki na hatosikika tena. Bongo tunapenda sana mambo ya kutrend tena kwa muda mfupi watu walikua wanapooza jambo lao maja akaibuka😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…