Kwa kweli uongozi wa TFF na Bodi ya Ligi una changomoto kubwa sana hasa kutokana vilabu vya Yanga na Simba. Uongozi wao siyo imara. Ninauliza muda wa uongozi wao unaisha lini ili watupishe tuchague uongozi mpya.
Nitashangaa sana kama uongozi huo wa TFF na Bodi ya Ligi watarudi tena madarakani. Hawa watu wametuvuruga sana.
Nitashangaa sana kama uongozi huo wa TFF na Bodi ya Ligi watarudi tena madarakani. Hawa watu wametuvuruga sana.