Karibu katika story hii Kali iliyo jaa mafunzo makubwa ndani yake ..
Iletwayo kwako na
DAVID EDWARD CHAZ
Mwenye kupatikana kwa cm no 0621731669
WhatsApp no 0689433218
Jina la stori likiwa kama
MUDA WANGU YATIMA
UTANGULIZI
Maisha ni kama dunia inavyo jizingusha katika muhimiri wake. Asubuhi ,mchana,jioni,na usiku pia ni vihashiria tosha vya kuyaelezea maisha jinsi yalivyo . Waweza kuanzia chini lakini ukaja uona mwanga ukawa juu ..
Sikuwahi kufikiria wala kuwaza kabisa kwamba ipo siku nitakuwa katika ngazi niliopo sasa .wengi walinicheka walinidharau, japo wapo walio niona na kusikitika tu bila ya kunipa msaada wowote .nilivumilia yote na kuwaona watu wote wako sawa tu wale walio nisaidia na ambao hawakunisaidia pia .
Nikikumbuka naumia na kupatwa na huzuni Sana . Nimelelewa na kukua katika maadili ya kuwa na bibi sikumfahamu baba wala mama . Bibi alinilea na kunitunza tena kwa umakini mkubwa Sana , nilikua nikifurahi na bibi yangu alinipenda na kunifanya nijione wa thamani Sana katika dunia hii .lakini kunamuda mwingine nilikua ni mtu wa mawazo na masononeko makubwa , hasa pale ambapo nikiwa na wenzangu na kuwasikia wakiwaongelea wazazi wao niliumia na kujiuliza . Je Mimi baba yuko wapi na mama pia nilipenda kumsumbua sana bibi kwa kumuuliza swali hili ." Mama na baba wako wapi? "" Bibi alikua akikosa majibu ya kunipa na kubaki kunidanganya ya kwamba watakuja tu wameenda kutafuta ridhiki mjini na kuniacha Mimi pale kijijini
Nilifurahi sana nilipo kua nikisikia jibu hilo . Miaka ilizidi kwenda na hatimaye nilifikisha umri wa miaka kumi na saba (17) nikiwa katika malezi ya bibi na niliku nimesha mzoea lakini nilipo fikisha umri huu .. Inauma nashindwa ata nielezee vipi
Bibi yangu alifariki kwa kugongwa na nyoka alipo kua shambani akilima na kukosa msaada wowote hivyo akawa amefariki .iliniuma na likikua ni pigo kubwa sana kwangu nililia kwa uchungu na nikiwa na maumivu makubwa .
Mazishi yalifanyika nyumbani pale na hatimaye msiba kuisha na watu kutawanyika na kuniacha Mimi pale nikiwa sina muelekeo wowote . Nikiwa nimeketi chini ya mti nikiwaangalia watu wakitawanyika msibani pale mara nikamuona mzee mmoja alie kua na ukaribu na bibi yangu niliamua kimkimbilia ili nikamuulize vitu vichache juu ya wazazi wangu .
Nilimkaribia kwa ukaribu nikiwa nalidondosha chozi kwa mbali . Alinipa pole na kuninyamazisha nilinyamaza na kumuuliza
Samahani mzee. Baba na mama yangu wako wapi?

Upvote
1