Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huyo unayemuita Yesu ni Yesu wako mwenyewe. Hata yeye mwenyewe anamfuata Yesu aliye hai. Wewe hukumu yake i juu yakoMgekuwa wacha Mungu msingemficha Yesu wa Lugola ukuu wa Mungu umesababisha spate stroke The real God hapendi Ujinga.
Kwenye kundi la watu walio kashfu kumfananisha na Yesu/ mungu huyo anayepumulia mashine sasa ni pamoja na;Ukuu wa Mungu lazima utimie
Mlikuwa mnamuita Yesu Mara Malaika ..hakika huu uchafu ni mkubwa bila kutubu lazima mpate stroke.
Hahahaha nimecheka kwa ngv mno jaman8🤣🤣🤣😍Chatu wa chatto stroke ya kiuno haijanwacha salama, inshilaah maulana atamwinua tena apate kujikongoja walau kwa magongo!!!
Kwisha khabari zenu MATAGA, mtakula wapi sasa wakati mbuzi kesha kula mkeka?Wewe huyo unayemuita Yesu ni Yesu wako mwenyewe. Hata yeye mwenyewe anamfuata Yesu aliye hai. Wewe hukumu yake i juu yako
MATAGA kachanganyikiwa maana hata haijui kesho yake itakuwaje.H
HILI NI JUKWAA LA SIASA SIO JUKWAA LA DINI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Una mawazo mafupi dah!Kwisha khabari zenu MATAGA, mtakula wapi sasa wakati mbuzi kesha kula mkeka?
💥😍@My Sons Legacy ☕Chadema mnajivuta vuta sana sijui kwanini, Kama mnasema raisi wetu anaumwa yuko hoi. kinachowashinda kuandamana kudai haki zenu mlizopikonywa ni nini ?
Mnaemuogopa si anaumwa Au ? ?
,mkisubiri apone mtaweza kudai vyenu ? ? Hahah
Mgekuwa na hiyo God fearing , msingefanya Assassination attempt kwa opposition figure Hon Tl its better mkaconfessess la sivyo lazima hapo Lumumba gulty wote wapate stroke except innocent man.
Mtajua kuwa hamjuiUna mawazo mafupi dah!
Yaani mwisho uwezo wako wa fikra ni kwenye ni kwenye kivuli chako cha saa sita mchana..... Hadi huruma[emoji848]
Teeeeeeeeeeh Teeeeeeeeeeh Teeeeeeeeh TeeeeeeeeeeehUmemsahau Kabudi "mheshimiwa mungu"
Watu wanajua kumkufuru MuumbaUmemsahau Kabudi "mheshimiwa mungu"
MUDA WENU SI MUDA WANGU, MAWAZO YENU SI MAWAZO YANGU