Muda wowote Israeli wanamuua Kiongozi wa Iran hivyo nae kaamua Kuteua Mrithi wake na Wengineo katika Jeshi la Iran

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Screenshot_20250621-210423.jpg

Kifupi Waisraeli huwa hatunaga Kazi Mdogo. Ukiona hadi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tokea ajiunge na JamiiForums avatar yake imekuwa ni ile ile ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin BIBI Netanyahu jua nimeshajiridhisha nayo kuwa ni Mtu sahihi halafu tunafanana kwa Characters za AKILI KUBWA, MAONO, UJANJA, UMAKINI, UBABE WA TIJA, MIKAKATI na VISASI VYA KUANGAMIZA ADUI pale AKIKUCHOKOZA / AKIKUSHAMBULIA kwa 95% na ndiyo maana namkubali Kunakotukuka.
 
Kitu ambacho wenye akili wako tofauti na wavaa kobazi ni kuwa Israel inalipua mipango ya kijeshi ya Iran ila ilani analipua maeneo yanayofatiliwa na media

USSR
 
Ayatollah ni akili mbovu nilijua jeuri yake haogopi kifo kumbe no Tambo tu. Waziri yupo ng'ambo kaelewana na viongozi wa ulaya anamtafuta ampe majibu anaambiwa hajulikani alipojifichiamo, so no use for diplomatic. Wapigwe tu
 
Taifa teule kachapika sana awamu hii, asipokuwa kuwa makini na kujishusha hatakuwa tofauti na Gaza, Persians wanatembeza dozi juu ya dozi.
 
Kwa miaka ambayo amekuwa akipigana na wanaomzunguka, angekuwa dhaifu angeshapotea

Ila experience na uwezo walio gain over those years, haitokuwa rahis , iran ana kazi ya kufanya
 
For all those years, she was just facing weak opponents, this time around she has just found someone well prepared.
 
GENTAMYCINE, nikuulize kaswali, mbona unamshabikia Netanyahu ambae sio Mkristu? Sina udini ila huenda nawe ni mpinga kristu ndio maana unamshabikia.
 
View attachment 3378124
Kifupi Waisraeli huwa hatunaga Kazi Mdogo. Ukiona hadi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tokea ajiunge na JamiiForums avatar yake imekuwa ni ile ile ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin BIBI Netanyahu jua nimeshajiridhisha nayo kuwa ni Mtu sahihi halafu tunafanana kwa Characters za AKILI KUBWA, MAONO, UJANJA, UMAKINI, UBABE WA TIJA, MIKAKATI na VISASI VYA KUANGAMIZA ADUI pale AKIKUCHOKOZA / AKIKUSHAMBULIA kwa 95% na ndiyo maana namkubali Kunakotukuka.
Kila nafsi itaonja mauti,hamna atakayeishi milele,sishangai kuchagua mrithi wake ni mambo ya kawaida,na sio mwisho wa mapambano,labda atakaye kuja baada yake atakua bora zaidi,all in all Acha wazayuni wachapike,wamezoea kuua Wapalestina hususani wanawake na watoto.
 
Kila nafsi itaonja mauti,hamna atakayeishi milele,sishangai kuchagua mrithi wake ni mambo ya kawaida,na sio mwisho wa mapambano,labda atakaye kuja baada yake atakua bora zaidi,all in all Acha wazayuni wachapike,wamezoea kuua Wapalestina hususani wanawake na watoto
 
Back
Top Bottom