GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
ilani?Kitu ambacho wenye akili wako tofauti na wavaa kobazi ni kuwa Israel inalipua mipango ya kijeshi ya Iran ila ilani analipua maeneo yanayofatiliwa na media
USSR
Ni Habari ya Mjini.Ila GENTA🤣🤣🤣
Taifa teule kachapika sana awamu hii, asipokuwa kuwa makini na kujishusha hatakuwa tofauti na Gaza, Persians wanatembeza dozi juu ya dozi.Ayatollah ni akili mbovu nilijua jeuri yake haogopi kifo kumbe no Tambo tu. Waziri yupo ng'ambo kaelewana na viongozi wa ulaya anamtafuta ampe majibu anaambiwa hajulikani alipojifichiamo, so no use for diplomatic. Wapigwe tu
Kwa miaka ambayo amekuwa akipigana na wanaomzunguka, angekuwa dhaifu angeshapoteaTaifa teule kachapika sana awamu hii, asipokuwa kuwa makini na kujishusha hatakuwa tofauti na Gaza, Persians wanatembeza dozi juu ya dozi.
For all those years, she was just facing weak opponents, this time around she has just found someone well prepared.Kwa miaka ambayo amekuwa akipigana na wanaomzunguka, angekuwa dhaifu angeshapotea
Ila experience na uwezo walio gain over those years, haitokuwa rahis , iran ana kazi ya kufanya
Ni msomi huyo wala usiwe na shaka na elimu yake kama wanavyojisema...ilani?
Yule ni JudaismGENTAMYCINE, nikuulize kaswali, mbona unamshabikia Netanyahu ambae sio Mkristu? Sina udini ila huenda nawe ni mpinga kristu ndio maana unamshabikia.
Kila nafsi itaonja mauti,hamna atakayeishi milele,sishangai kuchagua mrithi wake ni mambo ya kawaida,na sio mwisho wa mapambano,labda atakaye kuja baada yake atakua bora zaidi,all in all Acha wazayuni wachapike,wamezoea kuua Wapalestina hususani wanawake na watoto.View attachment 3378124
Kifupi Waisraeli huwa hatunaga Kazi Mdogo. Ukiona hadi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tokea ajiunge na JamiiForums avatar yake imekuwa ni ile ile ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin BIBI Netanyahu jua nimeshajiridhisha nayo kuwa ni Mtu sahihi halafu tunafanana kwa Characters za AKILI KUBWA, MAONO, UJANJA, UMAKINI, UBABE WA TIJA, MIKAKATI na VISASI VYA KUANGAMIZA ADUI pale AKIKUCHOKOZA / AKIKUSHAMBULIA kwa 95% na ndiyo maana namkubali Kunakotukuka.