Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.

Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
FlTaXf9XgAE26Fh.jpg
 
Hongera Kwake
 
Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana

Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?

Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako
 
Short cut is always a wrong cut...malipo yake ni baadae...mtaona...
 
Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana

Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?

Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako
Bila Rais alikuwa anapotea...ila kiuhalisia Yanga imedhulumiwa.
 
Hapa sasa kitakachofata ni kuombea asipeform. Hii ni hatari sana kwa afya ya akili ya mwombaji iwapo itakuwa tofauti.
Wale waliokuwa wanamwambia Hersi asimamie kanuni na asikubali kutii 'ombi' la Mama nadhani leo watakuwa dissapointed sana.

Tuliwaambia lile ombi litatekelezwa haraka sana na Mama atapelekewa mrejesho.Dogo ameondoka kwa masharti mepesi sana ndiyo maana 'dau' lake la kuondoka halitawekwa wazi kuepusha fedheha kwa waliokuwa wanamfanyia zengwe last born wa Taifa.
 
TTai
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.

Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Rais Mzanzibari anaingilia maswala ya soccer kwa kumuokoa mchezaji wa kizanzibari akachezee timu ya Mzanzibari. Tungojee rungu la fifa
 
Nilipoona tu hii sentensi " dau halitawekwa wazi" nikajua hapa kuna watu wanaficha fedheha waliyoipata baada ya kumzungusha muda mrefu kijana.Hatimae wamerudi pale pale walipokuwa wanakataa.
🤣🤣🤣🤣 wanajiona wao ndiyo wajuaji wa kuficha aibu
 
Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana

Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?

Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako
Kama sio siasa dogo alikua anapotea ulikua haujiulizi mbona haendi CAS? anyway cha msingi issue imeisha kila mtu ashike 5O zake
 
Back
Top Bottom