King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kila la kheri Amijei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ombi la raisi haliwagi ombi haswa raisi wa kiafrika.Ile ilikuwa amri kamili iliyorembwarembwa na macho malegevu.
Hakika na imeisha kama itakavyoisha.Sure Rais akishasema kinachofuata ni Utekelezaji na ndiyo maana since that day Tukaiclose issue ya feisal.
Shida elimu inapotezwa na mahaba ya uyanga na usimba wakati inaeleweka kabisa.Jana hapa walikuwa kama wamepagawa,tulikuwa tunawauliza kama wanaelewa uzito wa lile ombi la Mama wakawa wanaruka ruka na maneno mengi.Leo hii wanaanza kutuletea blah blah za dau la 350M
kwani FRANK DOMAYO alivotoka YANGA alienda wapi?Safi sana...Wenzake walitoka huko kuja Yanga, yeye anaelekea huko....
Mm nafikiri tungempongeza baada ya majibu ya cas, kilichofanywa ni kudekezwa tu, jiulize bila mama nini kingetokea, hekima tu imetumika sheria zimewekwa pembeni. but kikanuni jamaa alipuyanga so tumsifu aliiyesema mgogoro uishe maana yale ni mamlaka na kauli ya mkuu ni sheria.
Kwani wangapi walisema yaishe na hayakuisha? Kumsifu toto kwa hili ni kujaribu kupiga mluzi huku unatafuna karanga.
So kosa la yanga tena kumuhurumia kijana na kulegeza kamba?Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana
Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?
Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako
Kwamba kumuonea huruma na kumsaidia ni kosa.Nilipoona tu hii sentensi " dau halitawekwa wazi" nikajua hapa kuna watu wanaficha fedheha waliyoipata baada ya kumzungusha muda mrefu kijana.Hatimae wamerudi pale pale walipokuwa wanakataa.
Yanga imelegeza kamba? Si wangefanya toka awali... Kwa kushirikiana na kamati ya TFF waliminya haki za Dogo Kwa Muda mrefu Sana.. TFf kma mlezi walikuwa na nafasi ya kulimaliza kama wazazi lkn walijawa na mahabati... Ndio maana hta kamati walikuwa wanashindwa kutoa rulling in public... Wanasema tu kamalizane na yanga...??? Is it kweli? Kwanin wasiseme au watoe hukumu in words Ili tuone in public çoz jambo lilikuwa na maslahi ya umma..yanga hawajalegeza kamba ila wamewekwa kati wakasurrender.. viva feitoto Kwa msimamo viva mh samia Kwa kulitolea maelekezo..So kosa la yanga tena kumuhurumia kijana na kulegeza kamba?
Ile kamati ya TFF ilikuwa ni changa la macho tu,kamati ina kina Mgongolwa ambae mara nyingi ameonekana pia akimwakilisha GSM kwenye maswala ya kisheria ndiyo ilikuwa inaamua swala la Feisal vs Yanga.Hii amri ya Mama imewavua nguo hata hiyo kamati na janja janja yao .Yanga imelegeza kamba? Si wangefanya toka awali... Kwa kushirikiana na kamati ya TFF waliminya haki za Dogo Kwa Muda mrefu Sana.. TFf kma mlezi walikuwa na nafasi ya kulimaliza kama wazazi lkn walijawa na mahabati... Ndio maana hta kamati walikuwa wanashindwa kutoa rulling in public... Wanasema tu kamalizane na yanga...??? Is it kweli? Kwanin wasiseme au watoe hukumu in words Ili tuone in public çoz jambo lilikuwa na maslahi ya umma..yanga hawajalegeza kamba ila wamewekwa kati wakasurrender.. viva feitoto Kwa msimamo viva mh samia Kwa kulitolea maelekezo..