Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

Muda wowote kuanzia sasa Yanga inatangaza rasmi kuachana na Fei Toto, anatua Azam FC

Ombi la raisi haliwagi ombi haswa raisi wa kiafrika.Ile ilikuwa amri kamili iliyorembwarembwa na macho malegevu.

Sure Rais akishasema kinachofuata ni Utekelezaji na ndiyo maana since that day Tukaiclose issue ya feisal.
 
Jana hapa walikuwa kama wamepagawa,tulikuwa tunawauliza kama wanaelewa uzito wa lile ombi la Mama wakawa wanaruka ruka na maneno mengi.Leo hii wanaanza kutuletea blah blah za dau la 350M
Shida elimu inapotezwa na mahaba ya uyanga na usimba wakati inaeleweka kabisa.
 
Wale mliokuwa mnaipakazia Simba kuwa ndiyo walikuwa wanamrubuni limewashuka sasa,aliyetoa ile M112 ameshajulikana,komeni kuihusisha Simba na mambo ya kitoto.
 
Mm nafikiri tungempongeza baada ya majibu ya cas, kilichofanywa ni kudekezwa tu, jiulize bila mama nini kingetokea, hekima tu imetumika sheria zimewekwa pembeni. but kikanuni jamaa alipuyanga so tumsifu aliiyesema mgogoro uishe maana yale ni mamlaka na kauli ya mkuu ni sheria.
Kwani wangapi walisema yaishe na hayakuisha? Kumsifu toto kwa hili ni kujaribu kupiga mluzi huku unatafuna karanga.

Mijitu imeshaitwa mambumbumbu na Mwenyekiti wa timu yao wenyewe unadhani mchezo, watakuchosha tu hao.
 
Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana

Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?

Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako
So kosa la yanga tena kumuhurumia kijana na kulegeza kamba?
 
Nilipoona tu hii sentensi " dau halitawekwa wazi" nikajua hapa kuna watu wanaficha fedheha waliyoipata baada ya kumzungusha muda mrefu kijana.Hatimae wamerudi pale pale walipokuwa wanakataa.
Kwamba kumuonea huruma na kumsaidia ni kosa.

Wakat dogo alikuwa amalialia.

Kwani angeachwa aende CAS ingekuwaje?
 
YANGA KAMA TAASISI YA SERIKALI, IMEAMUA KUHESHIMU OMBI LA MKUU WA NCHI.

NINYI VIPI?
 
So kosa la yanga tena kumuhurumia kijana na kulegeza kamba?
Yanga imelegeza kamba? Si wangefanya toka awali... Kwa kushirikiana na kamati ya TFF waliminya haki za Dogo Kwa Muda mrefu Sana.. TFf kma mlezi walikuwa na nafasi ya kulimaliza kama wazazi lkn walijawa na mahabati... Ndio maana hta kamati walikuwa wanashindwa kutoa rulling in public... Wanasema tu kamalizane na yanga...??? Is it kweli? Kwanin wasiseme au watoe hukumu in words Ili tuone in public çoz jambo lilikuwa na maslahi ya umma..yanga hawajalegeza kamba ila wamewekwa kati wakasurrender.. viva feitoto Kwa msimamo viva mh samia Kwa kulitolea maelekezo..
 
Ile kamati ya TFF ilikuwa ni changa la macho tu,kamati ina kina Mgongolwa ambae mara nyingi ameonekana pia akimwakilisha GSM kwenye maswala ya kisheria ndiyo ilikuwa inaamua swala la Feisal vs Yanga.Hii amri ya Mama imewavua nguo hata hiyo kamati na janja janja yao .
 
Back
Top Bottom