JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hongera KwakeTaarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.
Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sanaTaarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.
Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Malengo yanatofaitiana.Safi sana...Wenzake walitoka huko kuja Yanga, yeye anaelekea huko....
Short cut is always a wrong cut...malipo yake ni baadae...mtaona...Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana
Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?
Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako
Bila Rais alikuwa anapotea...ila kiuhalisia Yanga imedhulumiwa.Kweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana
Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?
Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako
Hapa sasa kitakachofata ni kuombea asipeform. Hii ni hatari sana kwa afya ya akili ya mwombaji iwapo itakuwa tofauti.Short cut is always a wrong cut...malipo yake ni baadae...mtaona...
Wale waliokuwa wanamwambia Hersi asimamie kanuni na asikubali kutii 'ombi' la Mama nadhani leo watakuwa dissapointed sana.Hapa sasa kitakachofata ni kuombea asipeform. Hii ni hatari sana kwa afya ya akili ya mwombaji iwapo itakuwa tofauti.
Nilipoona tu hii sentensi " dau halitawekwa wazi" nikajua hapa kuna watu wanaficha fedheha waliyoipata baada ya kumzungusha muda mrefu kijana.Hatimae wamerudi pale pale walipokuwa wanakataa.hakuna dau la usajili hapo. Sema wamekubali yaishe uvunjaji wa mkataba baina ya pande mbili.
Rais Mzanzibari anaingilia maswala ya soccer kwa kumuokoa mchezaji wa kizanzibari akachezee timu ya Mzanzibari. Tungojee rungu la fifaTaarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga ni kuwa tayari klabu hiyo imemalizana na Fei Toto na andiko la kumalizana naye lipo kwenye hatua za mwisho kupitiwa kabla ya kuwekwa kwenye platforms za Klabu ya Yanga.
Anaelekea Azam FC kwa dau la usajili ambalo halitawekwa wazi kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.
Ubwabwa umewaponza, mkome uroho, kwani huwa kwenu hamli?Bila Rais alikuwa anapotea...ila kiuhalisia Yanga imedhulumiwa.
Ndiyo garama ya kwenda kula ubwabwa Ikulu.Hakuna cha rungu la FIFA na maisha yataendeleaTTai
Rais Mzanzibari anaingilia maswala ya soccer kwa kumuokoa mchezaji wa kizanzibari akachezee timu ya Mzanzibari. Tungojee rungu la fifa
🤣🤣🤣🤣 wanajiona wao ndiyo wajuaji wa kuficha aibuNilipoona tu hii sentensi " dau halitawekwa wazi" nikajua hapa kuna watu wanaficha fedheha waliyoipata baada ya kumzungusha muda mrefu kijana.Hatimae wamerudi pale pale walipokuwa wanakataa.
Kama sio siasa dogo alikua anapotea ulikua haujiulizi mbona haendi CAS? anyway cha msingi issue imeisha kila mtu ashike 5O zakeKweli nimeamini katika maisha simamia unachokiamini hata Kama kitakugharimu lakimi malipo yake mbele ni makubwa sana
Watu kama kina Edo kumwembe walimkejeli Santa Dogo na maandiko Yao Leo kipo wap?
Viva feisal Toto nilikuelewa toka mwanzoni..sasa nimeprove ile imani niliyokuwa nayo kwako