Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Utakuwa unaowaona mechi zao kupitia station gani?Nitakuwa shabiki kindakindakinwa Rabat
Canal na kustream onlineUtakuwa unaowaona mechi zao kupitia station gani?
Kwa bando hili hili la buku buku?Canal na kustream online
Ajitahidi atoboe kuanzia mwanzo. MWARABU hata ustahamilivu na kocha.Aliyekuwa Kocha wa timu ya Yanga NABI amesema kuwa yeye hajasaini mkataba wa kuitumikia timu ya AS FAR RABAT kama Kocha mkuu.
Lakini kwa inavyoonekana ni kuwa mazungumzo yamefikia pazuri kwa pande zote mbili na muda wowote atamwaga wino wa kuwatumikia FAR RABAT, na kama hili litafanikiwa ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wachezaji kutoka pale Jangwani pamoja na benchi la Ufundi alilofanya nalo kazi watakuwa sehemu ya timu ya AS FAR RABAT.
YoutubeUtakuwa unaowaona mechi zao kupitia station gani?