Muda wowote Nabi anaweza kuwa Kocha wa AS Far Rabat

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Aliyekuwa Kocha wa timu ya Yanga NABI amesema kuwa yeye hajasaini mkataba wa kuitumikia timu ya AS FAR RABAT kama Kocha mkuu.

Lakini kwa inavyoonekana ni kuwa mazungumzo yamefikia pazuri kwa pande zote mbili na muda wowote atamwaga wino wa kuwatumikia FAR RABAT, na kama hili litafanikiwa ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wachezaji kutoka pale Jangwani pamoja na benchi la Ufundi alilofanya nalo kazi watakuwa sehemu ya timu ya AS FAR RABAT.
 
Eeeh kama ni wachezaji waje wawanunue kama wana mikataba sio kwamba kwakua Nabi kaenda Rabat basi nao wataemda tu bila utaratibu kama unavyoripoti ndugu mwandishi
 
As far Rabat mabingwa wa Morocco
Tunamwombea mafanikio
 
Aliyekuwa Kocha wa timu ya Yanga NABI amesema kuwa yeye hajasaini mkataba wa kuitumikia timu ya AS FAR RABAT kama Kocha mkuu.

Lakini kwa inavyoonekana ni kuwa mazungumzo yamefikia pazuri kwa pande zote mbili na muda wowote atamwaga wino wa kuwatumikia FAR RABAT, na kama hili litafanikiwa ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wachezaji kutoka pale Jangwani pamoja na benchi la Ufundi alilofanya nalo kazi watakuwa sehemu ya timu ya AS FAR RABAT.
Ajitahidi atoboe kuanzia mwanzo. MWARABU hata ustahamilivu na kocha.
 
Back
Top Bottom