Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Aliyekuwa Kocha wa timu ya Yanga NABI amesema kuwa yeye hajasaini mkataba wa kuitumikia timu ya AS FAR RABAT kama Kocha mkuu.
Lakini kwa inavyoonekana ni kuwa mazungumzo yamefikia pazuri kwa pande zote mbili na muda wowote atamwaga wino wa kuwatumikia FAR RABAT, na kama hili litafanikiwa ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wachezaji kutoka pale Jangwani pamoja na benchi la Ufundi alilofanya nalo kazi watakuwa sehemu ya timu ya AS FAR RABAT.