Mkwe ameshaanza kutetemeka utafikiri amemwagiwa maji ya Baridi Usiku. Ndio maana nikasema akae pembeni na kuvuta pumzi kwanza .Mbavu zangu🤣
MUda wowte nitaelezea pori lililotumiwa na wazazi wako kukusaka wewe. Eti mboni ya taifa letu, mboni wakati ilisema ina bosi wake kule kwa mwamposi. Boss wa rais ni wananchi wake sasa yeye boss wake ni mstaafu. Alisahau nini ikulu had aendelee kuwa boss wa rais?Ndugu zangu Watanzania,
Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa kujua ajenda ya kakikundi kanakotaka kujipachika jina la uzalendo kutimiza ajenda zake ovu na zenye nia ovu kwa Taifa letu.
Ndugu zangu Watanzania kuna kakikundi kanataka kujaribu kumyumbisha Rais Samia,kutaka kumtisha Rais kwa kutaka kuonyesha kana nguvu kubwa nyuma yake au kenyewe ndio chama chenyewe kuliko hata Mkutano Mkuu wa chama Taifa au kamati kuu ya chama Taifa au vikao vyovyote vile halali vya chama.
Kakikundi haka msingi wake umejikita katika chuki binafsi ,Udini ,ukabila na ukanda. Kamejikita katika kujihalalisha na kujiaminisha ya kuwa kenyewe ndiyo kanapaswa pengine kuamua nani awe Rais ,Makamu ,waziri Mkuu ,speaker wa Bunge na viongozi wengine wakuu katika vyombo vingine mbalimbali.
Ni kakikundi kanakofikiri pengine kana haki ya kufikiria na kuamua kwa niaba ya watanzania wote.ni kakikundi ambako kanaongozwa na maslahi binafsi na uroho wa madaraka pamoja na uchu wa madaraka na vyeo mbalimbali. Kana kiu ya kuiteka Ofisi Kuu kwa gharama ya aina yoyote ile iwayo.
Ni kakikundi ambako kanajaribu kwa namna yoyote ile kujaribu kumchafua Rais Samia na kuharibu haiba yake mbele ya macho ya watanzania. Shabaha yake kuu ni kuhakikisha kuwa Rais Samia anachafuka , kuchafuliwa,kupakwa matope ,kusilibwa,kuzushiwa uongo na uzushi pamoja na kumchonganisha yeye binafsi na watanzania. Kamedhamiria kutaka RAIS Samia achukiwe na kuonekana ndiye adui wa Taifa hili na watu wake.
Ndio Maana mtaona na mtaendelea kuona kuwa mashambulizi Yoote yataelekezwa katika kumchafua yeye pekee tu .kwa sababu huyu ndiye aliyeshikilia nafasi ambayo wao wanaimezea mate usiku na mchana na kuiota. Wao shida yao ni Urais tu ili waweze kupanga sasa safu zao zooote zinazobakia na ambazo ni nyeti na muhimu.
Hii ni baada ya maamuzi ya Mkutano Mkuu wa CCM kuwapiga msasa kwenye kidonda kibichi pasipo wao kutegemea au kujiandaa au waweza kusema ya kuwa walipigwa shambulizi la ghafla bila wao kujiandaa. Na kibaya zaidi shambulio hilo lilifanywa kikatiba na kikanuni kabisa kwa kujibu wa katiba ,kanuni na miongozo ya katiba ya CCM. Yaani hakuna kipengele chochote kile kilichokiukwa.
Hivyo kakikundi hako kanataka kujaribu kutumia nafasi yake ya mwisho mwisho kujaribu kuigawa CCM na kuleta vurugu ambazo wao wanafikiri pengine zinaweza kuchochea uasi , Mapinduzi ya kikatiba na mivurugano mbalimbali na kukosekana kwa maelewano ndani ya chama ili kupata upenyo wa kutimiza lengo lake la kuimendea ofisi kuu kwa kumpachika mtu wanaofikiri atalinda maslahi yao binafsi.
Hata hivyo ni kuwa hawawezi kamwe na katu kufanya Mapinduzi ya aina yoyote ile ndani ya CCM wala kuleta mgawanyiko au kuchochea ugomvi na kuvunja umoja na mshikamano. Kwa kuwa CCM ni chama imara na madhubuti na chenye mfumo imara na wa kipekee sana.
CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM yenyewe.huwezi kuitikisa CCM pasipo kuitikisa Nchi yenyewe na watanzania. Hivyo anayewaza kufanya hivyo anajidanganya yeye binafsi na wanaomtuma na kumdanganya. CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule au kikundi chochote kile. Cheza na kitu chochote kile lakini usicheze na CCM. Hii ni taasisi imara na yenye intelligensia kali sana yenye kuona hadi gizani.
Rais Samia ndio Mboni Ya Taifa letu. Tutamlinda, kumtetea na kumpigania kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3411197
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Siyo kama wewe unalia lia tu kama ng'ombe 🐄 Mooo!!Ungekaa pembeni kwanza badala ya kuanza kutetemeka kama sumaku.
Kwani andiko hili ni la nani? Hizo pombe za bure mnazofakamia mkiwa na njaa tumboni zitawapeleka kubaya sana.Ueleze kama nani ? Unawashwa matacle
Nataka hako kadubwana kazimikie huko angani akiwemo jini shumiletaNdugu zangu Watanzania,

Mimi akiondoka kwa njia ya fedheha nitachinja ngamiaAnytime from now utabubujikwa na Machozi ya Furaha once Samia is Out
Samia ni Mzanzibar hapaswi kuongoza Tanganyika.Ndugu zangu Watanzania,

Wana lao jambo ambalo si kwa maslahi ya TaifaMUda wowte nitaelezea pori lililotumiwa na wazazi wako kukusaka wewe. Eti mboni ya taifa letu, mboni wakati ilisema ina bosi wake kule kwa mwamposi. Boss wa rais ni wananchi wake sasa yeye boss wake ni mstaafu. Alisahau nini ikulu had aendelee kuwa boss wa rais?
Umeandika ukweli mchungu. Tanganyika ni kwa ajili ya Watanganyika. Na Zanzibar ni kwa ajili ya Wazanzibari. Muungano tuliokuwa nao ni wa kinafiki, na wenye mapungufu mengi.Samia ni Mzanzibar hapaswi kuongoza Tanganyika.
Mtanganyika hawezi kuongoza Zanzibar sasa kwanini Mzanzibar aongoze Tanganyika?.
Samia alipaswa kumalizia ungwe ya Magufuli na si vinginevyo.
Samia hana uwezo wala vigezo vya kuongoza Tanganyika.
Wait and seeHawakati tu kama keki ya bethdei,kuna vikao maalum,vikao vikimpitisha kama vile vikivyomng'oa uanachama na hivyo urais abood jumbe
Mkuu Chawa wote hamtakuwepo hivi Punde, wote hamtakuwepo.Ndugu zangu Watanzania,