Muda wowote Nitaeleza kwa kina juu ya wote wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia na kuleta Vurugu na kuigawa CCM

Ndugu zangu Watanzania,

Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa kujua ajenda ya kakikundi kanakotaka kujipachika jina la uzalendo kutimiza ajenda zake ovu na zenye nia ovu kwa Taifa letu.

Ndugu zangu Watanzania kuna kakikundi kanataka kujaribu kumyumbisha Rais Samia,kutaka kumtisha Rais kwa kutaka kuonyesha kana nguvu kubwa nyuma yake au kenyewe ndio chama chenyewe kuliko hata Mkutano Mkuu wa chama Taifa au kamati kuu ya chama Taifa au vikao vyovyote vile halali vya chama.

Kakikundi haka msingi wake umejikita katika chuki binafsi ,Udini ,ukabila na ukanda. Kamejikita katika kujihalalisha na kujiaminisha ya kuwa kenyewe ndiyo kanapaswa pengine kuamua nani awe Rais ,Makamu ,waziri Mkuu ,speaker wa Bunge na viongozi wengine wakuu katika vyombo vingine mbalimbali.

Ni kakikundi kanakofikiri pengine kana haki ya kufikiria na kuamua kwa niaba ya watanzania wote.ni kakikundi ambako kanaongozwa na maslahi binafsi na uroho wa madaraka pamoja na uchu wa madaraka na vyeo mbalimbali. Kana kiu ya kuiteka Ofisi Kuu kwa gharama ya aina yoyote ile iwayo.

Ni kakikundi ambako kanajaribu kwa namna yoyote ile kujaribu kumchafua Rais Samia na kuharibu haiba yake mbele ya macho ya watanzania. Shabaha yake kuu ni kuhakikisha kuwa Rais Samia anachafuka , kuchafuliwa,kupakwa matope ,kusilibwa,kuzushiwa uongo na uzushi pamoja na kumchonganisha yeye binafsi na watanzania. Kamedhamiria kutaka RAIS Samia achukiwe na kuonekana ndiye adui wa Taifa hili na watu wake.

Ndio Maana mtaona na mtaendelea kuona kuwa mashambulizi Yoote yataelekezwa katika kumchafua yeye pekee tu .kwa sababu huyu ndiye aliyeshikilia nafasi ambayo wao wanaimezea mate usiku na mchana na kuiota. Wao shida yao ni Urais tu ili waweze kupanga sasa safu zao zooote zinazobakia na ambazo ni nyeti na muhimu.

Hii ni baada ya maamuzi ya Mkutano Mkuu wa CCM kuwapiga msasa kwenye kidonda kibichi pasipo wao kutegemea au kujiandaa au waweza kusema ya kuwa walipigwa shambulizi la ghafla bila wao kujiandaa. Na kibaya zaidi shambulio hilo lilifanywa kikatiba na kikanuni kabisa kwa kujibu wa katiba ,kanuni na miongozo ya katiba ya CCM. Yaani hakuna kipengele chochote kile kilichokiukwa.

Hivyo kakikundi hako kanataka kujaribu kutumia nafasi yake ya mwisho mwisho kujaribu kuigawa CCM na kuleta vurugu ambazo wao wanafikiri pengine zinaweza kuchochea uasi , Mapinduzi ya kikatiba na mivurugano mbalimbali na kukosekana kwa maelewano ndani ya chama ili kupata upenyo wa kutimiza lengo lake la kuimendea ofisi kuu kwa kumpachika mtu wanaofikiri atalinda maslahi yao binafsi.

Hata hivyo ni kuwa hawawezi kamwe na katu kufanya Mapinduzi ya aina yoyote ile ndani ya CCM wala kuleta mgawanyiko au kuchochea ugomvi na kuvunja umoja na mshikamano. Kwa kuwa CCM ni chama imara na madhubuti na chenye mfumo imara na wa kipekee sana.

CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM yenyewe.huwezi kuitikisa CCM pasipo kuitikisa Nchi yenyewe na watanzania. Hivyo anayewaza kufanya hivyo anajidanganya yeye binafsi na wanaomtuma na kumdanganya. CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule au kikundi chochote kile. Cheza na kitu chochote kile lakini usicheze na CCM. Hii ni taasisi imara na yenye intelligensia kali sana yenye kuona hadi gizani.

Rais Samia ndio Mboni Ya Taifa letu. Tutamlinda, kumtetea na kumpigania kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3411197

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe huisaidii CCM kwa lolote!
 
Alichukua lini form ya kugombea?; alidhaminiwa na Nani?; lini?! Akiirejesha lini form yake?! Ilipokelewa na Nani?; Nani aliijadili na kumpitisha?
 
Huna uwezo wa kumuoa ephen_. Na ukijaribu, basi utakuwa kila siku unashinda kusikiliza wimbo wa Bushoke wa mume bwege.
Ni lazima Nitamuoa ephen_ na huyo ndio chaguo langu. Yaani hapo ndio moyo wangu umetua na kutwama kama maji ya mvua au madimbwi . Kwa ephen sihemi wala sipumui .nimependa nimeisha.

Subiri uone atakavyo kuwa anavaa Madera ya CCM na kuwaringishia watu mitaani.
 
Yaani Mwashambwa na wahuni na machawa ndio wameachiwa kazi ya kujibu hoja za thinkers!
Huu ndio udhaifu mkubwa wa CCM, badala ya kutumia wasemaji rasmi wa chama wao waawaachia wahuni na machawa kujibu hoja., matokeo yake chama kinazidi kudharaurika na watu makini.

Vv
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kaeni mkao wa kula ,kaeni mkao wa kufunguliwa akili na macho,kaeni mkao wa kufumbuliwa vitendawili na mabano ,kaeni mkao wa kuonyeshwa ya sirini na gizani ,kaeni mkao wa kujua ajenda ya kakikundi kanakotaka kujipachika jina la uzalendo kutimiza ajenda zake ovu na zenye nia ovu kwa Taifa letu.

Ndugu zangu Watanzania kuna kakikundi kanataka kujaribu kumyumbisha Rais Samia,kutaka kumtisha Rais kwa kutaka kuonyesha kana nguvu kubwa nyuma yake au kenyewe ndio chama chenyewe kuliko hata Mkutano Mkuu wa chama Taifa au kamati kuu ya chama Taifa au vikao vyovyote vile halali vya chama.

Kakikundi haka msingi wake umejikita katika chuki binafsi ,Udini ,ukabila na ukanda. Kamejikita katika kujihalalisha na kujiaminisha ya kuwa kenyewe ndiyo kanapaswa pengine kuamua nani awe Rais ,Makamu ,waziri Mkuu ,speaker wa Bunge na viongozi wengine wakuu katika vyombo vingine mbalimbali.

Ni kakikundi kanakofikiri pengine kana haki ya kufikiria na kuamua kwa niaba ya watanzania wote.ni kakikundi ambako kanaongozwa na maslahi binafsi na uroho wa madaraka pamoja na uchu wa madaraka na vyeo mbalimbali. Kana kiu ya kuiteka Ofisi Kuu kwa gharama ya aina yoyote ile iwayo.

Ni kakikundi ambako kanajaribu kwa namna yoyote ile kujaribu kumchafua Rais Samia na kuharibu haiba yake mbele ya macho ya watanzania. Shabaha yake kuu ni kuhakikisha kuwa Rais Samia anachafuka , kuchafuliwa,kupakwa matope ,kusilibwa,kuzushiwa uongo na uzushi pamoja na kumchonganisha yeye binafsi na watanzania. Kamedhamiria kutaka RAIS Samia achukiwe na kuonekana ndiye adui wa Taifa hili na watu wake.

Ndio Maana mtaona na mtaendelea kuona kuwa mashambulizi Yoote yataelekezwa katika kumchafua yeye pekee tu .kwa sababu huyu ndiye aliyeshikilia nafasi ambayo wao wanaimezea mate usiku na mchana na kuiota. Wao shida yao ni Urais tu ili waweze kupanga sasa safu zao zooote zinazobakia na ambazo ni nyeti na muhimu.

Hii ni baada ya maamuzi ya Mkutano Mkuu wa CCM kuwapiga msasa kwenye kidonda kibichi pasipo wao kutegemea au kujiandaa au waweza kusema ya kuwa walipigwa shambulizi la ghafla bila wao kujiandaa. Na kibaya zaidi shambulio hilo lilifanywa kikatiba na kikanuni kabisa kwa kujibu wa katiba ,kanuni na miongozo ya katiba ya CCM. Yaani hakuna kipengele chochote kile kilichokiukwa.

Hivyo kakikundi hako kanataka kujaribu kutumia nafasi yake ya mwisho mwisho kujaribu kuigawa CCM na kuleta vurugu ambazo wao wanafikiri pengine zinaweza kuchochea uasi , Mapinduzi ya kikatiba na mivurugano mbalimbali na kukosekana kwa maelewano ndani ya chama ili kupata upenyo wa kutimiza lengo lake la kuimendea ofisi kuu kwa kumpachika mtu wanaofikiri atalinda maslahi yao binafsi.

Hata hivyo ni kuwa hawawezi kamwe na katu kufanya Mapinduzi ya aina yoyote ile ndani ya CCM wala kuleta mgawanyiko au kuchochea ugomvi na kuvunja umoja na mshikamano. Kwa kuwa CCM ni chama imara na madhubuti na chenye mfumo imara na wa kipekee sana.

CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM yenyewe.huwezi kuitikisa CCM pasipo kuitikisa Nchi yenyewe na watanzania. Hivyo anayewaza kufanya hivyo anajidanganya yeye binafsi na wanaomtuma na kumdanganya. CCM ni kubwa kuliko mtu yeyote yule au kikundi chochote kile. Cheza na kitu chochote kile lakini usicheze na CCM. Hii ni taasisi imara na yenye intelligensia kali sana yenye kuona hadi gizani.

Rais Samia ndio Mboni Ya Taifa letu. Tutamlinda, kumtetea na kumpigania kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3411197

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nonsense from an ignorant one.
 
Yaani Mwashambwa na wahuni na machawa ndio wameachiwa kazi ya kujibu hoja za thinkers!
Huu ndio udhaifu mkubwa wa CCM, badala ya kutumia wasemaji rasmi wa chama wao waawaachia wahuni na machawa kujibu hoja., matokeo yake chama kinazidi kudharaurika na watu makini.

Vv
CCM ni chama kinachopendwa,kuaminika na kukubalika kwa watanzania. Na wala hata siku moja hakijawahi kudharaulika
 
Ungekafichua kwanza kakikundi ka utekaj ningekuona mtu maana hako ndio kanakichafua chama sio kakikundi kanakopinga utekaj
Nakushauri ukapimwe milembe akili huna
 
Back
Top Bottom