Muda wowote tegemeeni Taarifa ya Kapombe na Hussein kurejeshwa Taifa Stars

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala.

No Upumbavu na Uwendawazimu uliovuka mipaka kwa Wachezaji Wakubwa, Wanaocheza Michuano mikubwa ya Kimataifa, Mahiri kwa Nafasi zao na wana Uzoefu wa kutosha Kuachwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Taifa Stars.

Natamani nimtaje hapa huyo Kiongozi mwenye Chuki na hawa Wachezaji Wawili kwakuwa tu walikataa kutoa 10% ya Jasho lao kwa Mpuuzi huyo wa TFF.

Nitarudi.
 
Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili Aibu na Chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala...
Takataka on the wheel [emoji28][emoji28][emoji28]hao wachezaji wako wameitwa how many times national team wakafanya Nini kama sio kuwa mizoga tu na kuprove failure

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
oh kama wameachwa kwakuwa hawakutoa mshiko mlipue
 
Takataka on the wheel [emoji28][emoji28][emoji28]hao wachezaji wako wameitwa how many times national team wakafanya Nini kama sio kuwa mizoga tu na kuprove failure

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpuuzi...Nyinyi ndio mlimshauri Malinzi kuunda timu ya taifa kwa kukusanya vijana wa mtaani. Mpira hauna shortcut. Wachezaji wa kuwaweka benchi Hussein na Kapombe bado hawapo ligi ya NBC. Tatizo la timu ya taifa sio la wachezaji wawili.
 
Mkuuu mbona hujasema chochote kuhusu ushindi wa mnyama
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo alikuwa akijua kuwa kwa Simba SC ambayo Makundi yote Hasimu yameungana baada ya kumaliza tofauti zao na wamefungua / wamekunjua Mioyo yao jana ingefungwa na Horoya FC.

Kupitia Kwako na GENTAMYCINE nakuambia hili huku nikijiamini kabisa kuwa Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC kwa Usaliti wetu wenyewe kwa wenyewe, ila tungeungana kwa Umoja wetu Siku ile Simba SC angeshinda na hakuna Timu itakayokuja hapa Tanzania Kucheza na Simba SC iliyo na Umoja na Nguvu ikashinda hata ikiwa Liverpool FC yangu au PSG yenu au ile Real Madrid FC yenu.

Nimemaliza.
 
Nimeona picha kocha wa Taifa Starz anaongea nao baada ya game ya jana, watarudi hao.
Leo Jumapili au hadi Kesho tegemeeni kusikia Taarifa za Kurejeshwa / Kuongezwa Kwao Kikosini Taifa Stars.
 
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo alikuwa akijua kuwa kwa Simba SC ambayo Makundi yote Hasimu yameungana baada ya kumaliza tofauti zao na wamefungua / wamekunjua Mioyo yao jana ingefungwa na Horoya FC.

Kupitia Kwako na GENTAMYCINE nakuambia hili huku nikijiamini kabisa kuwa Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC kwa Usaliti wetu wenyewe kwa wenyewe, ila tungeungana kwa Umoja wetu Siku ile Simba SC angeshinda na hakuna Timu itakayokuja hapa Tanzania Kucheza na Simba SC iliyo na Umoja na Nguvu ikashinda hata ikiwa Liverpool FC yangu au PSG yenu au ile Real Madrid FC yenu.

Nimemaliza.
big up mkuu
 
Wewe ni mpuuzi...Nyinyi ndio mlimshauri Malinzi kuunda timu ya taifa kwa kukusanya vijana wa mtaani. Mpira hauna shortcut. Wachezaji wa kuwaweka benchi Hussein na Kapombe bado hawapo ligi ya NBC. Tatizo la timu ya taifa sio la wachezaji wawili.
Mkuu Mashoga huwa hawapewi muda wa Kuelimishwa kama hivyo ulivyofanya kwani tabia zao tu za Ushoga ni Adhabu na Laana tosha Kwao.

Cc: Song of Solomon
 
Shomari Kapombe na Mohammed Hussein waitwe kwenye timu ya taifa wakati mwanzo hawakuitwa.....

Nini faida au hasara ya kubadili maamuzi ya mwanzo?
 
Ni Mpumbavu tu pekee ndiyo alikuwa akijua kuwa kwa Simba SC ambayo Makundi yote Hasimu yameungana baada ya kumaliza tofauti zao na wamefungua / wamekunjua Mioyo yao jana ingefungwa na Horoya FC.

Kupitia Kwako na GENTAMYCINE nakuambia hili huku nikijiamini kabisa kuwa Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC kwa Usaliti wetu wenyewe kwa wenyewe, ila tungeungana kwa Umoja wetu Siku ile Simba SC angeshinda na hakuna Timu itakayokuja hapa Tanzania Kucheza na Simba SC iliyo na Umoja na Nguvu ikashinda hata ikiwa Liverpool FC yangu au PSG yenu au ile Real Madrid FC yenu.

Nimemaliza.
Hahaja genta ahsantee kunipa Raha asubuhi
 
Back
Top Bottom