Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ukifuatilia kwa makini kinachoendelea kwenye club za Simba na Yanga mafanikio yanaletwa na wageni.
Jiulizeni ni kwa nini nchi zinazotamba kwa soka Africa kama Nigeria, Senegal, Cameroon, Ivory Coast vilabu vyao siyo tishio kwenye mashindano ya klabu bingwa Africa?
Kwahiyo msitegemee lolote kwa hawa wachezaji maana hata club zetu Sasa hivi zinabebwa na wachezaji wa nje.
Uliza kwenye magoli 7 ya Jana kuna mchezaji mzawa amefunga hata goli moja?